Haa huyu wakala wa dodo yuko kazini,nilishuhudia zinachomwa moto na watu wa tfda,loh nani anunue kansa usawa huu.
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haa huyu wakala wa dodo yuko kazini,nilishuhudia zinachomwa moto na watu wa tfda,loh nani anunue kansa usawa huu.
mme,muona maimartha? du huwez mkumbuka kama ulimuona enzi zile ana bonge la shepu!!
atajiju alitumwa? si alitaka aww mweupe kwani ye ubuyu?
nmeokoka teh....Mwee mpwa Evelyn Salt kule kwetu sikuoni! Sanga ulyyaki?
Wakuu huyu msanii anaitwa shilole sijui kumbe kajikaanga ngozi kuna kipindi anahojiwa channel 10 sasa rangi ya kwenye mikono hususani vidoleni ni vyeusi tiii tofauti na usoniii