Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shilole bado ana nia ya kugombea ubunge
kwenye jimbo lake la Igunga, lakini anahofia kuwa
maisha yake yanaweza kuwa hatarini!
Shilole ameiambia Bongo5 kuwa amepokea simu
nyingi kutoka Igunga zinazomtaka ajitose
kuwania nafasi hiyo, lakini bado yupo njia panda.
Unajua siasa ni ngumu mimi bado nipo kwenye
mjadala wa kugombea na hii ni baada ya kuona
watu wanataka kuongozwa, lakini bado nafikiria,
amesema. Nikiwa tayari nitagombea kupitia
CCM. Kitu ambacho kinaniogopesha kiukweli
ukiangaliwa watu waliopita ni vijana tu wanakufa
mapema kutokana na mambo ya siasa. Siasa
inahitaji moyo sana mimi ni muoga sana,
naogopa kufa watu wanauwana! Mtu unatamani
lakini ndo hivyo, ameongeza.
Mimi napigiwa simu nyumbani Igunga, watu
wengi sana kila mmoja ananiambia tunakuhitaji
ugombe yaani baada ya Rostam wananihitaji
mimi! Mimi bado nipo njia panda mpaka sasa hivi
lakini muda ukifika kila kitu mtasikia.
Chanzo bongo5
Hivi ni wabunge gani waliofanya ubunge uonekane ni kitu rahisi sana?
Hivi ni wabunge gani waliofanya ubunge uonekane ni kitu rahisi sana?
Hakuna kinachoshindikana Tanzania hiii
umewaona?hivi ni wabunge gani waliofanya ubunge uonekane ni kitu rahisi sana?
joseph mbilinyi
kwa design ya wabunge kama sugu na lema tena shilole anaweza kugombea uspika kabisa.
umewaona?