siku hizi hatuangalii kichwani una nn ila tunaangalia FAME. 2025 tutaanza kuteua wenye makalio makubwa hivyo sanchi, poshyqueen na wengineo wajiandae.... #CCM_MPYA.
Bado kule Ludewa ni Masanja mkandamizaji.
Kila siku anasifia ATCL lazima apite huyu mana kamfurahisha mwenyekiti.
Sent using Jamii Forums mobile app
kama ni kupitia ccm inawezekana kabisa kwani huko hakuhitajiki akili kubwa.
Muhimu kuwa na machangudoa bungeni, ili waweze kuwahudumia wazeeHakika naitazama ccm ikipoteza mvuto hata kwa sisi makada wake muhimu.
Shilole anatarajiwa kugombea ubunge hapa kwetu igunga na kwa hali ilivyo ndani ya chama chetu atapitishwa tu.
Harmonize atapitishwa kule Tandahimba hiyo haina ubishi, maana mwenye chama kasema.
Mimi na makada wenzangu wenye msimamo wa kati ndani ya ccm tumeanza kujiweka kando ili kuwapisha wabunge hawa wasanii ili wakafanye usanii pale bungeni dodoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao ndio watafanya tufikie uchumi wa viwanda mapema mkuu.Eti vitoke vichwa kama Zito, Lissu, Mbowe, Bulaya, Mdee, Mnyika hata Nape afu tuletewe kina Hamonize, Shilole, Wema, Diamond na vilaza wengine wakijani! Hivi tuko siriaz kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Shilole na mbunge wa Kawe wana tofauti gani?!Hakika naitazama ccm ikipoteza mvuto hata kwa sisi makada wake muhimu.
Shilole anatarajiwa kugombea ubunge hapa kwetu igunga na kwa hali ilivyo ndani ya chama chetu atapitishwa tu.
Harmonize atapitishwa kule Tandahimba hiyo haina ubishi, maana mwenye chama kasema.
Mimi na makada wenzangu wenye msimamo wa kati ndani ya ccm tumeanza kujiweka kando ili kuwapisha wabunge hawa wasanii ili wakafanye usanii pale bungeni dodoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
kama ni kupitia ccm inawezekana kabisa kwani huko hakuhitajiki akili kubwa.
Muhimu kuwa na machangudoa bungeni, ili waweze kuwahudumia wazee
Kuna watu wanautani na ule mjengo na maisha ya watu,Eti vitoke vichwa kama Zito, Lissu, Mbowe, Bulaya, Mdee, Mnyika hata Nape afu tuletewe kina Hamonize, Shilole, Wema, Diamond na vilaza wengine wakijani! Hivi tuko siriaz kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app