Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Shilole na mbunge wa Kawe wana tofauti gani?!
Aiseh kwahiyo bunge litakuwa MJ Records etiii
Diamond amepewa Kigoma natumai Rose Muhando atapewa Dodoma.Hakika naitazama ccm ikipoteza mvuto hata kwa sisi makada wake muhimu.
Shilole anatarajiwa kugombea ubunge hapa kwetu igunga na kwa hali ilivyo ndani ya chama chetu atapitishwa tu.
Harmonize atapitishwa kule Tandahimba hiyo haina ubishi, maana mwenye chama kasema.
Mimi na makada wenzangu wenye msimamo wa kati ndani ya ccm tumeanza kujiweka kando ili kuwapisha wabunge hawa wasanii ili wakafanye usanii pale bungeni dodoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chama dume la mende wenyewe wanasema
[emoji23][emoji23][emoji23]aiseeHAPA KWETU ARUSHA TUTAMPELEKA DOGO JANJA BUNGENI
Haaaaaahaaaaaaa
Yaani hapo itakuwa ni Fiesta
[emoji1732][emoji1732]kwa sauti ya wema[emoji39]Aiseh kwahiyo bunge litakuwa MJ Records etiii
Diamond amepewa Kigoma natumai Rose Muhando atapewa Dodoma.
Pole zimuendee Uchebe maana my wife wake akiwa mjengoni anywe Panadol za kutosha.
Ubunge ndani ya CCM umekosa hadhi !! Yaani kutujazia mambumbumbu bungeni kisa ni nini? kuongeza idadi ya wapiga makofi na wazomeaji ndiyo sera mpya ya CCM.