GE2025 Shilole: Uwezo wa Mama kwenye siasa ni mkubwa mno. Kwa kweli ni Role Model

GE2025 Shilole: Uwezo wa Mama kwenye siasa ni mkubwa mno. Kwa kweli ni Role Model

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
TATHMINI YANGU MIKOA 10.
.
Mimi kama msanii, Namshukuru Mungu, naishukuru CCM kupitia Mwenyekiti wake na Mgombea Urais, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa nafasi ya kwenda mikoani kwenye kampeni.

Kama msanii, mimi na wenzangu tulikuwa na jukumu la kuburudisha mamia elfu ya watu waliokuwa wanakuja kumsikiliza Mhe Rais Dkt Samia Suluhu (ni imani za wivu, husda na uzandiki kusema Eti wanakuja kutufuata sisi. Wanamfuata Mhe Rais Dkt Samia na Sera za CCM, kwa sababu huko mikoani sisi tunaendaga sana tu ila watu hawajai vile). Pamoja na jukumu hilo niliona haya:

1. Namna watu wanavyomkubali Mama. Wingi wa watu ni hoja moja kama nilivyosema hapo, Ila kukubalika kwake tumekuona huko kwenye mitaa na vijiji. Unaweza ukakaa mtandaoni hapa na kusema unachotaka, Ila sehemu kubwa ya Watanzania wanamkubali sana Mama, na Oktoba watatiki.

2. ⁠Uwezo wa Mama kwenye siasa ni mkubwa mno. Kwa kweli ni Role Model, energy yake na upangaji wa hoja zake ni kitu cha kutuvutia. Ofcourse tulimuona tangu 2015 na 2020 lakini sasa hivi yeye ndo Nahodha wa Timu ya CCm na kwa kweli ni jambo la kipekee Namna Namna mwanamke huyu anavyoinspire.

3. ⁠Kila pande ya Nchi yetu kuna alama imewekwa au inawekwa na Mama Samia. Barabara, shule, Afya, Maji na kila mahali, vinajieleza.
 
Lucas Muwashambwa weka bayana ID's zako mpya zote. Zamu hii unatumia akili hububujikwi na machozi hovyo. Baada ya JF kufungiwa wewe, Tlaatlaah, choice variable etc mmeona aibu mmekuja kivingine.. Oneni aibu serikali yenu mnayoipigania hata haithamini kububujikwa kwenu machozi.
 
Back
Top Bottom