Shilole: 'V8 ndio gari ya Heshima sio Range Rover gari ya Kitoto hiyo'

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Staa wa Muziki wa Bongo Fleva na Mjasiriamali Shilole ameiweka wazi Gari ya ndoto yake anayotamani kumiliki.

Wakati akizungumza na waandishi wa habari @officialshilole ameitaja “v8 new model” ndio gari ya heshima kwake na akiongeza kwa sema Gari aina ya Range Rover ni za kitoto.

Your browser is not able to display this video.

DOZEN SELECTION
 
Kwenye huu uzi picha ni ya mhim sana
 
Itakuwa alimaanisha Toyota Land Cruiser.

Na nyingine hii
 
Kwa nchi hii ukitamka tu V8 automatically it is clear what you're talking about.

Let's focus on the context than technical jargons uncommon to common wananchi.
Sawa sisi watu wa nchi hii tuachane na technical terms. Ila sasa hapo tufocus kwenye kwenye context mkuu, Shilole kuja kununua 'V8' au 'V8' kuwa gari la maana la kikubwa kuliko Range Rover?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…