Shilole: 'V8 ndio gari ya Heshima sio Range Rover gari ya Kitoto hiyo'

Haya
Screenshot_20230425-191828_Instagram.jpg

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
... sijawahi kuona Range ikiwa na fujo au vurugu zozote barabarani compared to IST, Forester, and the like. Those guys (Range owners) are so humble hadi unashangaa!
Kwakweli..na magari mengi yanaoongoza kwa viraka mfano taa imegongwa,rangi imechubuliwa au bampa linaning'a ni IST
 
Ni kwa bongo tu, lakini wasanii hollywood USA mpaka Qeen Elizabeth UK wanatumia Range Rover.

Tukiacha hizi Range zetu za 2006/7 na hizi Evoque.

Tatizo la Range kuonekana za kawaida ni bei kushuka kwa kasi ndani ya muda mdogo hii inatokana na hizi gari kuwa over engineered to the point waka sacrifice issue ya reliability, kiuhalisia Range ilitengenezwa kwa ajili ya watu wenye status na uwezo kuliko LC.
 
Malkia nani tena anatumia RR?
 
Back
Top Bottom