Shilole: 'V8 ndio gari ya Heshima sio Range Rover gari ya Kitoto hiyo'

Shilole: 'V8 ndio gari ya Heshima sio Range Rover gari ya Kitoto hiyo'

Staa wa Muziki wa Bongo Fleva na Mjasiriamali Shilole ameiweka wazi Gari ya ndoto yake anayotamani kumiliki.

Wakati akizungumza na waandishi wa habari @officialshilole ameitaja “v8 new model” ndio gari ya heshima kwake na akiongeza kwa sema Gari aina ya Range Rover ni za kitoto.

View attachment 2591320
DOZEN SELECTION
Ukute anaongelea EVOQUE, yaani kitoto cha Range..
Anasema latest Land Cruiser, sawa.
Ashaona latest Range Rover, 2023 model?
 
Kila mtu ashinde mechi zake

Huyu mshamba anaijua
The new Range Rover SV 'Lansdowne Edition ambayo inaenda £250k ?
2023, zitakuwa sita tu...sasa gari sare sare Kama mashuka ya kimasai za nini
Tatizo wengi wakisikia Range Rover wanajua ni zile wanazoendesha wasanii yaani Sports za mwaka 2005 au Evoque kama za kina Mobetto.
 
Shilole anataka afananishe

2023 Range Rover SV Carmel Edition inayouzwa $345,000 na LC ?

Shilole hajui ultra- luxury cars huyu
Yaani mnyama 2023 Range Rover SV Carmel Edition ufananishe na LC zenu hizo 200 na 300.

Shilole anajua Range Rover za Befoward tu nk
 
Shilole anataka afananishe

2023 Range Rover SV Carmel Edition inayouzwa $345,000 na LC ?

Shilole hajui ultra- luxury cars huyu
Yaani mnyama 2023 Range Rover SV Carmel Edition ufananishe na LC zenu hizo 200 na 300.

Shilole anajua Range Rover za Befoward tu nk
Kuna tofauti kubwa kati ya gari za heshima na gari za kifahari.Shilole kaongelea gari ya heshima,wewe unazungumzia gari ya kifahari.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
[emoji91]
2022%20Range%20Rover%20SV%20Carmel%20Edition_10.jpg
 
umeharibu ulipoanza kusema STAR WA NYIMBO ZA BONGO FLEVA,

pia ameshajichanganya kwa kusema gari ya NDOTO yake, iyo ni ndoto yake na sio ya wengine
 
Kipi ambacho hakipo mkuu?tuanzie hapa tu Range rover ina air suspension,niambie Toyota ipi wanayo...
Duh! Kua air suspension ndio latest technogy kwenye gari tena Range[emoji848]

Unayajua magari vizuri mkuu!!? Au ndio unataka kujiaibisha mbele ya kadamnasi!!?

Ushauri wangu mdogo tu! Tafuta hoja nyingine tuijadili
 
Back
Top Bottom