Billionaire wa Betting
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 1,086
- 2,179
Discover naifananisha na Dog aina ya German SherphadItakuwa alimaanisha Toyota Land Cruiser.
Na nyingine hii
Utasikia nichangieniWasanii wakifikwa na magonjwa wanatia huruma sana kwa kuchangishana. Wakiwa wazima sasa
... sijawahi kuona Range ikiwa na fujo au vurugu zozote barabarani compared to IST, Forester, and the like. Those guys (Range owners) are so humble hadi unashangaa!Ushawahi hata kupanda? Au ndio unayaona tu barabarani yanapita.
Ukute anaongelea EVOQUE, yaani kitoto cha Range..Staa wa Muziki wa Bongo Fleva na Mjasiriamali Shilole ameiweka wazi Gari ya ndoto yake anayotamani kumiliki.
Wakati akizungumza na waandishi wa habari @officialshilole ameitaja βv8 new modelβ ndio gari ya heshima kwake na akiongeza kwa sema Gari aina ya Range Rover ni za kitoto.
View attachment 2591320
DOZEN SELECTION
Tatizo wengi wakisikia Range Rover wanajua ni zile wanazoendesha wasanii yaani Sports za mwaka 2005 au Evoque kama za kina Mobetto.Kila mtu ashinde mechi zake
Huyu mshamba anaijua
The new Range Rover SV 'Lansdowne Edition ambayo inaenda Β£250k ?
2023, zitakuwa sita tu...sasa gari sare sare Kama mashuka ya kimasai za nini
Kuna tofauti kubwa kati ya gari za heshima na gari za kifahari.Shilole kaongelea gari ya heshima,wewe unazungumzia gari ya kifahari.Shilole anataka afananishe
2023 Range Rover SV Carmel Edition inayouzwa $345,000 na LC ?
Shilole hajui ultra- luxury cars huyu
Yaani mnyama 2023 Range Rover SV Carmel Edition ufananishe na LC zenu hizo 200 na 300.
Shilole anajua Range Rover za Befoward tu nk
Ndiyo maana unatumia v8 sio?Range ni jina tu kubwa ila kiuhalisia hamna kitu mle
Wewe ndo umeongea, two seat ndo gari za heshima. Sasa gari ina viti nane kweli? Si bus hiloGari haitakiwi kua na Buti, haitakiwi kuzidi Seat 2
Vinginevyo ni chombo Cha usafiri kama sio cha moto
Alisikika Bill Lugano A.KA Kiduku lilo [emoji16]
Kipi ambacho hakipo mkuu?tuanzie hapa tu Range rover ina air suspension,niambie Toyota ipi wanayo...Range ni jina tu kubwa ila kiuhalisia hamna kitu mle
Kumbe LC ni za heshimaKuna tofauti kubwa kati ya gari za heshima na gari za kifahari.Shilole kaongelea gari ya heshima,wewe unazungumzia gari ya kifahari.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Nilivyo ona nikaanza kucheka hata sijasoma nimeenda moja kwa moja kwenye comment nimegundua watu wanauwelewa mdogo kuhusu magariIla ajue kuwa V8 ni engine na sio aina ya gari. Kwenye Range Rover pia kuna hiyo V8 engine.
Duh! Kua air suspension ndio latest technogy kwenye gari tena Range[emoji848]Kipi ambacho hakipo mkuu?tuanzie hapa tu Range rover ina air suspension,niambie Toyota ipi wanayo...