Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,506
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amejutia kuwapenda wanaume wa mjini kuwa ni wavivu kila sekta hivyo anajipanga kwenda kijijini kwao Igunga,Tabora kutafuta mume.
Akistorisha na Showbiz Xtra, Shilole alisema kuwa, hataki tena kujichosha akili kwa wanaume wa mjini kwa vile ni wavivu bora aende Igunga kumpata mwanaume atakayeweza kufanya kazi kutokana na vyakula asili anavyokula.
“Wanaume wa mjini wamezoea chipsi mayai, hawawezi chochote bora wa kijijini wanakula dona na wana akili za kufikiria,” alisema Shilole.
Shilole alikuwa akitoka kimapenzi na msanii wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda.
Source: Bongo Movie
hahaha kwa hyo abaki naye huko huko igunga.Uzuri ni kwamba hata hao washamba atakaowaleta mjini baada ya muda na wao wanakuwa fake. Vijana wengi wa kibongo hawajitambui.
Hahahahaah dah!Shilole tafadhari nimetoka Kwenye bani mda si mrefu Naomba Acha ujinga
Eti Igunga? Wote washaumia na tumbaku...anaweweseka huyu mtotoWANAWAKE WA VIJIJINI WAKIJA DAR NDO TABU YAO HII
Mkuu hujaeleweka.Huyu nae baada ya kuachana na dereva wake(ambae akirudi nyuma hadi agonge ndo aende mbele) naona anaweweseka tu
Akanunue Vibrator toys zile mashine Dildos za kujikunaaa bei chee tuuShilole anataka kusuguliwa mpaka k itoe cheche