Shilole: Wanaume wa mjini ni wavivu kila sekta, naenda kutafuta mwanamume wa kijijini

Shilole: Wanaume wa mjini ni wavivu kila sekta, naenda kutafuta mwanamume wa kijijini

Dah Shilole usihangaike Mimi nipo Madibila Mbarali ninaheka 200 za mpunga na 100 za mahindi nimelima kwa mikono yangu mwenyewe. Pia Dona maziwa ndio msosi wangu. Nitafute tumalize mchezo.
 
Juzi juzi kamsifia jamaa kamkuna vile itakiwavyo na akaomba aliemlipia chumba akalipe tena hili yule jamaa akamkune tena au yalikuwa maigizo!!
 
Hii ni kashfa nyingine kwa wanaume wa dar
 
sehem iliyopitisha mtoto inaweza ikakunwa ikaridhika kweli?
 
Sasa huyo wa kijijini utampa yale mambo ulimpa nuhu akawa kadata na ule mnato.....
 
Huyu manzi size yake ni mtungo tu, tena wahuni wawe washapiga vumbi la congo
 
Shilole katupa jiwe gizani kwa wanaume wa dasalama. Limewapata , shilole yuko vizuri ameliona hilo hakusimuliwa.teehteeh
 
Safi sana Shilole!!..... Nafikiri hapa alikuwa anawazungumzia wanaume wa Dar!
 
Wanaume wa Dar mmetudhalilisha wanaume wote Tanzania. Punguzeni kula chips mayai.
 
Back
Top Bottom