Shilole: Wanaume wa mjini ni wavivu kila sekta, naenda kutafuta mwanamume wa kijijini

Naichukia hii Tabia ya Ku-generalize, yaani hapo amemaanisha hata mimi ni mvivu?
 
Chips mayai na kuku wa kisasa nu janga kubwa sana
 
huyo jike shupa ameshindwana na mziwanda sasa amekosa soko anajipa promo kiunjanjaunja tumemstukia mwache akatafute mlugha mwenzako
 
Mfamaji haishi kutapa tapa Nuh mziwanda mwanaume wa MJINI katibuua sana maji leo mmemwagana utasema yote alikuwa anakufanyia ila tu yenye mapungufu..

Swali :
Nuh mziwanda kamkojoza shishittt beib mara ngapi tangu walioanza mahusiano yao.
 
hana lolote!mshamba tu yy!!mnyamwezi,sijui msukuma mapenzi ayajulie wapi!!!!
 
Shilole usipate shida ya mume,njoo kwangu nipo shamba huku Ifakara, na mimi nilikuwa natafuta gume gume aliyeshindikana huko mjini kwasababu ni mbunifu mno muwapo faragha. Nitakupokea kwa moyo wote mama!
Haya wasalimie viwanja sitini
 
kabla hajachukuwa wa igunga ajaribu wa size yake kwanza, maana wale walikuwa watoto sana kwake
Mimi napendekeza amchukue Ze Dudu...ili baada ya wiki moja tu naye (Shishi) aje na wimbo wenye vesi 'mapenzi si ubondia..najikaza huku nateketea...bora nijivue.....'
 
spati picha huko igunga jamaa wanavyosubiria hii fursa, Ila wanaume wa Dar mnatuaibisha sana wamikoani

Tunawaaibishaje kama mnashindwa kuwazuia mademu wenu kuja kwetu, kinachotokea demu hajui hata romance mwisho wa cku analalamika haridhishwi.
Rai:
Fanyeni mpango muwazuie mademu zenu
 
Shilole usipate shida ya mume,njoo kwangu nipo shamba huku Ifakara, na mimi nilikuwa natafuta gume gume aliyeshindikana huko mjini kwasababu ni mbunifu mno muwapo faragha. Nitakupokea kwa moyo wote mama!
utaliiweza gdege lisilofugika we tulia ujilie vyako
 
Tatizo watu hawataki kuogelea kama samaki, ndio maana wakipiga moja lazima watoke nduki.
 
kwan amewajaribisha wanaume wote wa mjini kujua kama kweli ni wavivu..[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Hapo wanaume wa daRisalama povu mpaka maskioni, shilole kahiti kwenye g-spot ya vijana wa daRisalama [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mileage 400,000 kms kama unatwanga maji kwenye kinu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…