Shilole: Wanaume wa mjini ni wavivu kila sekta, naenda kutafuta mwanamume wa kijijini

hivi uchebe naye si mwanaume wa Dar? atoe maelezo kama uchebe hawezi kila kitu..mbona kampa kichapo au ni kiki
 
Kampata hodari anaanza kulialia
 
Ndo bahati ikampata Uchebe na ndoa juu lol, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…