The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Dozi inakolea Shilole anasema ataanda Show yake na watanzania watajaa kwani hawataacha kwenda kuona viuno live. Anasema watanzania msiwabanie wasanii watakula wapi?
Safari ndio imeanza.....aende kwa lopo lopo Migulu atampa fidia na ajira kwenye esther.....Dozi inakolea Shilole anasema ataanda Show yake na watanzania watajaa kwani hawataacha kwenda kuona viuno live. Anasema watanzania msiwabanie wasanii watakula wapi?
asiwe na wasiwasi waliompa SA100 kura wale 31m watahudhuria tamasha lake la Viuno Live!Dozi inakolea Shilole anasema ataanda Show yake na watanzania watajaa kwani hawataacha kwenda kuona viuno live. Anasema watanzania msiwabanie wasanii watakula wapi?
Wakale walikopeleka mbogaDozi inakolea Shilole anasema ataanda Show yake na watanzania watajaa kwani hawataacha kwenda kuona viuno live. Anasema watanzania msiwabanie wasanii watakula wapi?
Wanatoa milioPameanza kuchangamka.
Wakale mbogambogaWakale walikopeleka mboga
Hawa wasanii mwezi wa 12 huu tuwafungie vioo hakuna kwenda kwenye SHOWs zao.Dozi inakolea Shilole anasema ataanda Show yake na watanzania watajaa kwani hawataacha kwenda kuona viuno live. Anasema watanzania msiwabanie wasanii watakula wapi?
Pumbafu zao wafanye kazi zingine.Wanatoa milio
Ajipikie mwenyeweAaah c'mon Shishi......Utakula wapi Dada etu ?
We SI mpishi wewe.
Ana mwili kma pipa kiuno kinatoka wapi? Huyu kenge tu.Shishii ana kiuno ganiii huyo kikongwe promax.... CHAWA MLEVIIIIII
Akisha piga zake pombekali zikimpanda ANAJIPA UMUHIMU ASIO KUA NAO...Ana mwili kma pipa kiuno kinatoka wapi? Huyu kenge tu.