Kumbe wanajua wananchi ndiyo chanzo chao cha mapato halafu wanaungana na Samia kushangilia mauaji aliyofanya? Ubinadamu kweli ni kazi! Hivyo hivyo yule Diamond, katokea Tandika kwenye umaskini uliokithiri, wananchi wamemsaidia, amepata mafanikio na leo anawakebehi eti wakafanye kazi. Anadhani mafanikio yake yametokana na juhudi zake! Akili zake zilivyo ndogo, haoni kuwa wananchi ndiyo wamempa. Nchi zenye watu wanaojitambua, hakuna kitu ma-star wanaheshimu kama wananchi na washabiki wao. Wanajua kabisa hakuna mafanikio yoyote ya msanii bila mashabiki.Hawa wasanii mwezi wa 12 huu tuwafungie vioo hakuna kwenda kwenye SHOWs zao.
Tuwa UNFOLLOW......Sponsored links zao tuzikaushie ,hakuna engagements nao.
Wasanii hawajitambui ,wanadhani mafanikio yao yamekuja tu kutoka kwa wadhamini na mapromoters ,wanashindwa kujua mtaji wao mkuu ni MASHABIKI bila hoa kuwapa support hawatoboi.Kumbe wanajua wananchi ndiyo chanzo chao cha mapato halafu wanaungana na Samia kushangilia mauaji aliyofanya? Ubinadamu kweli ni kazi! Hivyo hivyo yule Diamond, katokea Tandika kwenye umaskini uliokithiri, wananchi wamemsaidia, amepata mafanikio na leo anawakebehi eti wakafanye kazi. Anadhani mafanikio yake yametokana na juhudi zake! Akili zake zilivyo ndogo, haoni kuwa wananchi ndiyo wamempa. Nchi zenye watu wanaojitambua, hakuna kitu ma-star wanaheshimu kama wananchi na washabiki wao. Wanajua kabisa hakuna mafanikio yoyote ya msanii bila mashabiki.
walidhani tunatania.wamesahau zama zimebadilikaWakale walikopeleka mboga