Pre GE2025 Shime watanzania 2025 tumpate rais mwenye sifa za uongozi na siyo uongozi wa sifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Utakufa kihoro, dhalimu magu hakustahili kufikia cheo Cha urais, yule alipaswa kuishia kwenye uwaziri mkuu kama ilikuwa lazima.
Ww akili zako hazitumiki sawa sawa
 
W
Tangu 2015 watanzania hatujapata rais anayestahili na mwenye sifa za uongozi.

Rais wa 2015 - 2021 .
Huyu alikuwa anaendesha nchi kama nyumba yake. Alijawa na sifa za kishamba, matusi kibao na udikteta usioelezeka. Alitaka kila kitu kiwe siri, kuanzia mikopo inayochukuliwa na serikali mpaka magonjwa kama kipindupimdu, Zika na korona.

Aliharibu mizizi na mishipa ya kiuchumi kwa kuwachukia, kuwapora na kuwafilisi wafanyabiashara. Aliendesha nchi kwa kukandamiza kila kundi nchi hii. Uchumi aliudidimiza.

Serikalini alijaza ndugu na kabila lake ambalo ndiyo walikuwa wakiiba na kutafuna fedha ya nchi hii.
Aliichukia demokrasia kabisa, aliiba uchaguzi na alizima internet siku ya uchaguzi, na baadaye kuwafanya baadhi ya wanasiasa wa upinzani kuhama nchi. Na mbaya zaidi alitungas heria kandamzi za habari na wanahabari na alianzisha kikundi cha wasiojulikana.

Wa 2021 - mpk sasa.
Rais wa sasa kinchomharibia ni ulaghai
. Anatoa ahadi nyingi zenye muelekeo mwema lakini kumbe deep down her soul hakusudii kutimiza ahadi yake. Aliwafurahisha wapinzani kwa mazungumzo marefu ya maridhiano ambayo mwisho wa siku yalikuwa danganya toto. Akaanzisha kikosi kazi cha kuunda tume huru , lkn kumbe hakumaanisha, aliahidi katiba mpya nayo pia amechomoa.

Pia rais huyu, inaelekea serikali yake "imepigwa kopi na wahuni" (msemo wa H. Polepole), ama kwa maneno ya mwalimu Nyerere tunasema serikali ya mama "imewekwa mfukoni". Anaonekana kapokwa madaraka kabisa, kubakia na cheo cha urais tu, lkn serikali inaendeshwa na wahuni.

Fedha za serikali zinachotwa mama hasemi, bei za bidhaa zinapanda hovyo mama hasemi.

2025 tunawataka watanzania wote wenye akili, wenye nafasi ndani ya jamii, ndani na nje ya ccm/serikalini, mfanye jambo litakaloinusuru nchi hii. Tunahitaji mtu atakayekuwa na sifa za uongozi, siyo uongozi wa sifa.
Waambie ukweli Hawa machawa hawaelewi kitu kabisa mwamba!
 
Wee JPM alididimiza uchumi? Hujielewi
Magufuli alidumaza uchumi kabisa, na kama Mungu hakutenda, mpaka kufika 2025 nchi ingekuwa kituko. Mfano: Mosi, alifilisi wafanyabiashara kwa kisingizio walikuwa wanakwepa kodi, of whichi ni kweli. Ila maofisa wa tra ndio walishawishi ukwepaji huo kwa kutaka rushwa. Suluhisho halikuwa kuwafilisi hawa bali kuthibiti ile hali bila kuathiri biashara ili ajira zisipotee. Mfano wa ajira zilizopotea ni ktk mashamba ya maua kule kaskazini, biashara za Yusuf Manji za mbaazi etc, biashara ya korosho nk. Hii iliathiri pia tax base. Pili alidhoofisha sekta binafsi kwa kuwanyima wazabuni kazi za umma na kuzihamishia kwa majeshi na tba. Ikumbukwe sekta binafsi ndio muajiri mkubwa na ndipo inapopatikana kodi. Tatu, alinyang'anya pesa za watu- eg pesa za burea de change kule Arusha. Nasema alinyang'anya kwa sababu alitumia jeshi na usalama wa taifa kuwavamia, na, kama walikuwa na makosa, mbona hawakupelekwa mahakamani? Pia zile pesa haijulikani zilienda wapi. Nne, issue ya 'plea bargain' nayo ilikuwa wizi mtupu- ilitumika tu kunyang'anya pesa za watu.
Tunajua serikali ya Samia ina mapungufu makubwa hasa kwenye usimamizi wa rasilimali na ufisadi mkubwa unaoendelea. Lakini hili halihalalishi ule utawala wa kiovu wa magufuli.
 
Tangu 2015 watanzania hatujapata rais anayestahili na mwenye sifa za uongozi.

Rais wa 2015 - 2021 .
Huyu alikuwa anaendesha nchi kama nyumba yake. Alijawa na sifa za kishamba, matusi kibao na udikteta usioelezeka. Alitaka kila kitu kiwe siri, kuanzia mikopo inayochukuliwa na serikali mpaka magonjwa kama kipindupimdu, Zika na korona.

Aliharibu mizizi na mishipa ya kiuchumi kwa kuwachukia, kuwapora na kuwafilisi wafanyabiashara. Aliendesha nchi kwa kukandamiza kila kundi nchi hii. Uchumi aliudidimiza.

Serikalini alijaza ndugu na kabila lake ambalo ndiyo walikuwa wakiiba na kutafuna fedha ya nchi hii.
Aliichukia demokrasia kabisa, aliiba uchaguzi na alizima internet siku ya uchaguzi, na baadaye kuwafanya baadhi ya wanasiasa wa upinzani kuhama nchi. Na mbaya zaidi alitungas heria kandamzi za habari na wanahabari na alianzisha kikundi cha wasiojulikana.

Wa 2021 - mpk sasa.
Rais wa sasa kinchomharibia ni ulaghai
. Anatoa ahadi nyingi zenye muelekeo mwema lakini kumbe deep down her soul hakusudii kutimiza ahadi yake. Aliwafurahisha wapinzani kwa mazungumzo marefu ya maridhiano ambayo mwisho wa siku yalikuwa danganya toto. Akaanzisha kikosi kazi cha kuunda tume huru , lkn kumbe hakumaanisha, aliahidi katiba mpya nayo pia amechomoa.

Pia rais huyu, inaelekea serikali yake "imepigwa kopi na wahuni" (msemo wa H. Polepole), ama kwa maneno ya mwalimu Nyerere tunasema serikali ya mama "imewekwa mfukoni". Anaonekana kapokwa madaraka kabisa, kubakia na cheo cha urais tu, lkn serikali inaendeshwa na wahuni.

Fedha za serikali zinachotwa mama hasemi, bei za bidhaa zinapanda hovyo mama hasemi.

2025 tunawataka watanzania wote wenye akili, wenye nafasi ndani ya jamii, ndani na nje ya ccm/serikalini, mfanye jambo litakaloinusuru nchi hii. Tunahitaji mtu atakayekuwa na sifa za uongozi, siyo uongozi wa sifa.
Rais mnafiki Sana aende kuuza kizimkazi yake asituletee balaa hapa. Lazima ang'ke
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Kwa hali ilivyo sasa hivi kile Chama pendwa kitapata taabu sana.
 
2025 Lissu ndiye chaguo la mbingu za juu .
 
Sawa
 
Wadanganyika wengi hawana akili timamu,siku ukibahatika walau kuwa wakala au kusimamia uchaguzi utagundua Hilo,
 
Tatizo hakuna uchaguzi na wezi wa CCM wapo kazini tayari , Kenya majirani zetu wametuacha mbali sana mpaka inasikitisha hapo Rwanda wana lidikteta lakini at least linafanya kazi kwa maslahi ya nchi yake, kama miaka ya 60 tulikuwa uchumi sawa na Singapore na nchi nyingi za South Asia leo ni kama day and night, sitashangaa Kenya au Rwanda miaka 20 ijayo wakatuacha nyuma sana kama Asian countries walivyotuacha, nimesoma one of the report ya World Bank imesema Bandari ya Dar es Salaam ikiwekwa vizuri na kusimamiwa ina uwezo wa kuingiza billion 11 kwa mwaka ambazo ni nusu ya budget nzima ya Tanzania, sijui kwani kitu kama hiyo Bandari na Utalii tusiweke akili 100% tumalizane na umaskini atleast wa kutoomba omba na kujenga miundo mbinu yetu kwa pesa zetu lakini wapi bwana ndio wanauza kabisa kila kitu au deal za kipuuzi za ambazo hakuna mtu anaelewa hata zimeanza lini na zinaisha lini au tunapata ngapi, CCM na akili zao za stone age ndio chanzo cha umaskini hii nchi na hakuna kingine, mchawi ni mmoja tuu CCM and they must go!
Billion 11?
 
Tangu 2015 watanzania hatujapata rais anayestahili na mwenye sifa za uongozi.

Rais wa 2015 - 2021 .
Huyu alikuwa anaendesha nchi kama nyumba yake. Alijawa na sifa za kishamba, matusi kibao na udikteta usioelezeka. Alitaka kila kitu kiwe siri, kuanzia mikopo inayochukuliwa na serikali mpaka magonjwa kama kipindupimdu, Zika na korona.

Aliharibu mizizi na mishipa ya kiuchumi kwa kuwachukia, kuwapora na kuwafilisi wafanyabiashara. Aliendesha nchi kwa kukandamiza kila kundi nchi hii. Uchumi aliudidimiza.

Serikalini alijaza ndugu na kabila lake ambalo ndiyo walikuwa wakiiba na kutafuna fedha ya nchi hii.
Aliichukia demokrasia kabisa, aliiba uchaguzi na alizima internet siku ya uchaguzi, na baadaye kuwafanya baadhi ya wanasiasa wa upinzani kuhama nchi. Na mbaya zaidi alitungas heria kandamzi za habari na wanahabari na alianzisha kikundi cha wasiojulikana.

Wa 2021 - mpk sasa.
Rais wa sasa kinchomharibia ni ulaghai
. Anatoa ahadi nyingi zenye muelekeo mwema lakini kumbe deep down her soul hakusudii kutimiza ahadi yake. Aliwafurahisha wapinzani kwa mazungumzo marefu ya maridhiano ambayo mwisho wa siku yalikuwa danganya toto. Akaanzisha kikosi kazi cha kuunda tume huru , lkn kumbe hakumaanisha, aliahidi katiba mpya nayo pia amechomoa.

Pia rais huyu, inaelekea serikali yake "imepigwa kopi na wahuni" (msemo wa H. Polepole), ama kwa maneno ya mwalimu Nyerere tunasema serikali ya mama "imewekwa mfukoni". Anaonekana kapokwa madaraka kabisa, kubakia na cheo cha urais tu, lkn serikali inaendeshwa na wahuni.

Fedha za serikali zinachotwa mama hasemi, bei za bidhaa zinapanda hovyo mama hasemi.

2025 tunawataka watanzania wote wenye akili, wenye nafasi ndani ya jamii, ndani na nje ya ccm/serikalini, mfanye jambo litakaloinusuru nchi hii. Tunahitaji mtu atakayekuwa na sifa za uongozi, siyo uongozi wa sifa.
Nakubaliana na wewe kwa Rais wa 2015-21 kuwa aliendesha nchi kama familia yake binafsi. Kuhusu Rais wa sasa Samia Suluhu Hassan umekosea. Huyu mama ni chaguo la Mungu ila sisi ndiyo tunamkosea kwa vile ni Mwislamu na Mzanzibari. Samia alianza vizuri kwa kuachia demokrasia na uhuru wa kujieleza. Akaachia watu wote waliotupwa jela na Dikteta, akarudisha fedha walizoibiwa na kuruhusu mikutano ya vyama vya upinzani. Hata akina Lissu na Lema waliokuwa ukimbizini walirudi. Alipoanza maridhiano alikuwa SERIOUS lakini CHADEMA walitaka kum-COMMAND as if wao ndiyo wanatawala nchi. Kimsingi wakanza hata kumtukana kwenye majukwaa. Hii ni fursa waliyoipoteza kwa sanabu walitaa ku-deal na Samia kama wanavyo deal na Rais mtukutu. Samia tena 2025-30
 
Rais tayari tunaye ni Dr.SSH tena 2025
Huyu urais wa ndondokela via katiba alioupata unamtosha!
Kiukweli kabisa HATOSHI, yeye kama kiongozi mkuu hana maono kabisa ni kama anakokotwa tu na washauri...mbaya zaidi hajajichagulia washauri smart wa kumsaidia kazi!!.
 
Alipoanza maridhiano alikuwa SERIOUS lakini CHADEMA walitaka kum-COMMAND as if wao ndiyo wanatawala nchi. Kimsingi wakanza hata kumtukana kwenye majukwaa. Hii ni fursa waliyoipoteza kwa sanabu walitaa ku-deal na Samia kama wanavyo deal na Rais mtukutu. Samia tena 2025-30
Maridhiano, katiba na tume huru haikuwa kwa faida ya chadema. Kama kaachana nayo akidhani anawakomoa basi hana akili kabisa. Suala la katiba na tume huru halijaanza kupigiwa kelele na chadema, ni la miaka mingi.

Rais mwerevu mwenye misuli na uwezo wa uongozi huwa anaangalia maslahi mapana ya taifa, siyo kundi ama chama. Vyama vinapita na pengine kufa kabisa.

Tuna rais asiye na maono ya mbali, anaweza kuuza rasilimali, kukopa na kusafiri nje tu
 
Suala la katiba na tume huru halijaanza kupigiwa kelele na chadema, ni la miaka mingi.
Kama suala la Katiba ni la Tume huru ni la miaka mingi, sasa kwa nini MNSHINIKIZA Rais Samia ndiyo AWAPE? Hao wengine mbona MULIUFYATA hasa kwa Magufuli? Acheni UWOGA na kuwaonea wanawake
 
Back
Top Bottom