Pre GE2025 Shime watanzania 2025 tumpate rais mwenye sifa za uongozi na siyo uongozi wa sifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Utakufa kihoro, dhalimu magu hakustahili kufikia cheo Cha urais, yule alipaswa kuishia kwenye uwaziri mkuu kama ilikuwa lazima.
Ww akili zako hazitumiki sawa sawa
 
W
Waambie ukweli Hawa machawa hawaelewi kitu kabisa mwamba!
 
Wee JPM alididimiza uchumi? Hujielewi
Magufuli alidumaza uchumi kabisa, na kama Mungu hakutenda, mpaka kufika 2025 nchi ingekuwa kituko. Mfano: Mosi, alifilisi wafanyabiashara kwa kisingizio walikuwa wanakwepa kodi, of whichi ni kweli. Ila maofisa wa tra ndio walishawishi ukwepaji huo kwa kutaka rushwa. Suluhisho halikuwa kuwafilisi hawa bali kuthibiti ile hali bila kuathiri biashara ili ajira zisipotee. Mfano wa ajira zilizopotea ni ktk mashamba ya maua kule kaskazini, biashara za Yusuf Manji za mbaazi etc, biashara ya korosho nk. Hii iliathiri pia tax base. Pili alidhoofisha sekta binafsi kwa kuwanyima wazabuni kazi za umma na kuzihamishia kwa majeshi na tba. Ikumbukwe sekta binafsi ndio muajiri mkubwa na ndipo inapopatikana kodi. Tatu, alinyang'anya pesa za watu- eg pesa za burea de change kule Arusha. Nasema alinyang'anya kwa sababu alitumia jeshi na usalama wa taifa kuwavamia, na, kama walikuwa na makosa, mbona hawakupelekwa mahakamani? Pia zile pesa haijulikani zilienda wapi. Nne, issue ya 'plea bargain' nayo ilikuwa wizi mtupu- ilitumika tu kunyang'anya pesa za watu.
Tunajua serikali ya Samia ina mapungufu makubwa hasa kwenye usimamizi wa rasilimali na ufisadi mkubwa unaoendelea. Lakini hili halihalalishi ule utawala wa kiovu wa magufuli.
 
Rais mnafiki Sana aende kuuza kizimkazi yake asituletee balaa hapa. Lazima ang'ke
 
Reactions: G4N
Kwa hali ilivyo sasa hivi kile Chama pendwa kitapata taabu sana.
 
Reactions: G4N
2025 Lissu ndiye chaguo la mbingu za juu .
 
Sawa
 
Wadanganyika wengi hawana akili timamu,siku ukibahatika walau kuwa wakala au kusimamia uchaguzi utagundua Hilo,
 
Billion 11?
 
Nakubaliana na wewe kwa Rais wa 2015-21 kuwa aliendesha nchi kama familia yake binafsi. Kuhusu Rais wa sasa Samia Suluhu Hassan umekosea. Huyu mama ni chaguo la Mungu ila sisi ndiyo tunamkosea kwa vile ni Mwislamu na Mzanzibari. Samia alianza vizuri kwa kuachia demokrasia na uhuru wa kujieleza. Akaachia watu wote waliotupwa jela na Dikteta, akarudisha fedha walizoibiwa na kuruhusu mikutano ya vyama vya upinzani. Hata akina Lissu na Lema waliokuwa ukimbizini walirudi. Alipoanza maridhiano alikuwa SERIOUS lakini CHADEMA walitaka kum-COMMAND as if wao ndiyo wanatawala nchi. Kimsingi wakanza hata kumtukana kwenye majukwaa. Hii ni fursa waliyoipoteza kwa sanabu walitaa ku-deal na Samia kama wanavyo deal na Rais mtukutu. Samia tena 2025-30
 
Rais tayari tunaye ni Dr.SSH tena 2025
Huyu urais wa ndondokela via katiba alioupata unamtosha!
Kiukweli kabisa HATOSHI, yeye kama kiongozi mkuu hana maono kabisa ni kama anakokotwa tu na washauri...mbaya zaidi hajajichagulia washauri smart wa kumsaidia kazi!!.
 
Maridhiano, katiba na tume huru haikuwa kwa faida ya chadema. Kama kaachana nayo akidhani anawakomoa basi hana akili kabisa. Suala la katiba na tume huru halijaanza kupigiwa kelele na chadema, ni la miaka mingi.

Rais mwerevu mwenye misuli na uwezo wa uongozi huwa anaangalia maslahi mapana ya taifa, siyo kundi ama chama. Vyama vinapita na pengine kufa kabisa.

Tuna rais asiye na maono ya mbali, anaweza kuuza rasilimali, kukopa na kusafiri nje tu
 
Suala la katiba na tume huru halijaanza kupigiwa kelele na chadema, ni la miaka mingi.
Kama suala la Katiba ni la Tume huru ni la miaka mingi, sasa kwa nini MNSHINIKIZA Rais Samia ndiyo AWAPE? Hao wengine mbona MULIUFYATA hasa kwa Magufuli? Acheni UWOGA na kuwaonea wanawake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…