Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Katika kutambua vipaji vyao, nitakuwa nashindanisha stori (script) ya dakika 60 kwa wale wote wenye vipaji.
Na atakayekuwa mshindi kila mwezi, atazawadiwa shilingi 200,000/= .Atakayeshika nafasi ya kwanza kwa miezi mitatu mfululizo, huyo tutafanya naye kazi.
Kwa wenye vipaji tajwa karibuni kwa kazi.