Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Wakiweza kutumia AI hakuna shidaWatakuja wengi si Kuna AI
Tuwasubiri wanakujawapo wengi ila huwezi kupata hata mmoja.
NOTE: Anaeweza ku-render video ya sec 60 huyo tayari kaisha jipata huwezi kumuajili kwa mshahara unadhania wewe maana kumiliki tu machine inayoweza ku-render video ya sec 60 si mchezo fanya hivi wewe tafuta watu wenye ujuzi tu kama wewe unamashine waje kufanya mtihani hapo kwenye machine yako vinginevyo wengi tuna machine ambayo ku-render sec 5 tu inatuchukua siku tatu