day 1
1.mashed potato na chai ya rangi yeny hiliki
2.maziwa ya mtindi na viazi ya kuchemsha
3.samaki na ndizi bukoba vitakuw vyakcemsha,na juice y ukwaju
day 2
1.mtori
2.viazi mviringo nitachemsha hn vikaange na kitunguu
3.futari ya magimbi n chai ya maziwa yenye karafuu na zaatar (@farkihna ole wako usinipe ushindi)
day 3
1.supu ya mboga mboga(karoti cabbage tangawizi kidogo ,vitunguu w )na viazi vitamu hapa
Kaunga atakatika vidole
2.chips na nyama ya mbuzi foiled.
3.maboga ya Nazi,na chai ya rangi this time itakuwa na tangawizi tu
day 4
1.smoothie ya embe,tikiiti maji na maziwa fresh ya baridi
2.mihogo ya kuchemsha ,dagaa za nyasa zenye karanga na juice ya nanasi
3.supu ya kambale mkavu na ndizi (just tossed)
day5
1.mahindi ya kuchemsha(ahahaaha au na huu ni ugali eti
The Boss) na chai ya mchaichai
2.magimbi ya karanga na mboga za majani(kisamvu kitatulia hapa nafkiri)
3.ndizi mzuzu za kuchoma na samaki wa kuchoma pia ,plus salad ya nyanya na parachichi ,juice yoyote poa
day 6
1.uji wa mashed boga mixed na sauce ya karanga
2.mashalali (ndizi mshale laini) ya nyama y mbuzi,bila nyanya kitunguu,nazi,wala mafuta just chumvi !
3.mixer ya prawns,ngisi, pweza na salad ya colflower,karoti na zabibu kavu
day 7
1.supu ya ulimi
2.viazi vikuuu na sauce ya karanga yenye nyanya chungu wapi
KOKUTONA
3.mixer ya kuku (nyamaa kuku vipande vidogo vidogo,pilipili kwa wingi wa kweli!,viazi ya kutupia,coliflower ikatwekwenye vishina vile)
uuuh kichwa kimeumaje sasa!