Shindano la big brother lina maudhui gani?

Shindano la big brother lina maudhui gani?

Ndiyo vijana wa siku hizi wanavyodai
Namna ya kupata mtu uliyechat naye hiyo chat.
1. fungua chat unayodhania kuwa ndo inahusika
2. select all (ctrl+A), then copy (ctrl+c)
3. nenda ukapaste kwenye word or notepad
4. mwanzoni utaona vichwa vya chats zingine lakin ukiscroll down utakuta sehemu ambayo chats za hiyo window zinasomeka zote
5. Au unaweza ukaseach keyword mfano "sepetu" utaona ile txt ulichat na nani
 
Noted
 
Mwisho Mwampamba na Idrissa wanaweza kutuelewesha.

Binafsi huwa naona ni kundi la vijana linalowekwa pamoja na kukatiwa mawasiliano na nje. Wanaishi mule kwa tabia zao asili (inawezekana wana pretend pia), kila mshiriki huangalia tabia za mwenzake na mwisho wa week hupiga kura kwa kushirikiana na majaji kumtoa mmoja.

Mwisho wa siku atakayekaa mpaka mwisho ndio mshindi.

Maudhui ni tabia za washiriki.

Sasa sielewi elewi ila ndio hivyo.
 
Ni moja ya vitu vya ovyo sana,
Watu weusi tunapenda kuiga kila kinachofanywa na wamagharibi halafu tuona ndio ujanja
 
Back
Top Bottom