Shindano la kutembea kwenye kamba angani limefanyika katika Bustani ya Kitaifa ya Misitu ya Huangshizhai huko Zhangjiajie, China. Watu 10 wameshindana kwa kutembea juu ya kamba kwa urefu wa juu wa zaidi ya mita 200 angani.
Yoko salama na ataendelea kuwa salama, sababu huwa kuna kamba imefungwa kiunoni, yenye urefu usiozidi 2m, hivyo atakuwa akininginia na kujirudisha tena kwenye kamba husika ya kutembelea
==
uki Zoom icha utaona kamba kwa nyuma kama kamkia