Shindano la Mbio za Riadha kati ya Kevin Kijili vs Chadrack Boka

SAYVILLE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
7,895
Reaction score
12,975
Kuna hii vita nyingine inaendelea kimya kimya kati ya beki wa kulia wa Simba Kevin Kijili na beki wa kushoto wa Yanga Chadrack Boka. Ni vita ya mchezaji mwenye mbio zaidi.

Ebwana hizi mutu zinakimbia. Nadhani huko wanapotoka walikosa fursa za kuwa wanariadha wakajikuta wapo kwenye Soka.

Wazee wa fursa, break ya December andaeni shindano la kukimbia pale uwanja wa Amaan kati ya hawa wajuba wawili, mtapiga pesa nyingi saaaana. Hauwezi kukosa wajingawajinga wa kutosha kudhamini tukio zima plus viingilio. Na hapo ukiongeza vionjo vya usimba na uyanga, mbona shughuli itaenda mjini.
 
Kuna hii vita nyingine inaendelea kimya kimya kati ya beki wa kulia wa Simba Kevin Kijili na beki wa kushoto wa Yanga Chadrack Boka. Ni vita ya mchezaji mwenye mbio zaidi.

Ebwana hizi mutu zinakimbia. Nadhani huko wanapotoka walikosa fursa za kuwa wanariadha wakajikuta wapo kwenye Soka.

Wazee wa fursa, break ya December andaeni shindano la kukimbia pale uwanja wa Amaan kati ya hawa wajuba wawili, mtapiga pesa nyingi saaaana. Hauwezi kukosa wajingawajinga wa kutosha kudhamini tukio zima plus viingilio.
Usimfananishe Boka, na vitu vya ajabu. Kijili hata krosi hawezi kupiga.
 
Kijili alinichekesha sana ile mechi ya Simba Vs A Tripol...lile goli alilofunga Balua...Kijili alikimbia na balua akampita balua akapita mbele...halafu akakaa sawa anasubiria apewe mpira afunge...😃😃😃😃😃😃🙃🤣🤣🤣
Ila Boka nae ni hatari hahaha niliona clip yao ya kule Ua vikini tauni...yani alikua anakimbiaaa...heeee mpk wenzie wakabaki mdomo wazi...
 
Kijili alinichekesha sana ile mechi ya Simba Vs A Tripol...lile goli alilofunga Balua...Kijili alikimbia na balua akampita balua akapita mpk goli...halafu akarudi akakaa sawa anasubiria apewe mpira afunge...😃😃😃😃😃😃🙃🤣🤣🤣

Yaani daah, hakuwa anaweza offside wala nini. Nilichompendea baada ya Balua kufunga hakuwa na hiana wana nini, akaenda kushangilia naye kwa energy ile ile
 
Miguu yao mirefu kama ile ya panzi 😁😁, utofauti wa kisinda na hawa no kua miguu ya kisinda haikua na macho.
 
Yaani daah, hakuwa anaweza offside wala nini. Nilichompendea baada ya Balua kufunga hakuwa na hiana wana nini, akaenda kushangilia naye kwa energy ile ile
Simba ya sasa hawana bifu..na hawaoneani vijicho...yani yy alikua ameshakua offside kama sikosei..😃😃
 
Yeah alikuwa offside halafu hakutaka hata kujihangaisha kuivunja. Wakiendeleza upendo kati yao watasumbua saana
Ndio ubaya ubwela wenyewe sasa...yani unahakikisha ndani unapatengeneza vzr kiasi kwamba hakuna chance za outsiders..
 
Kijili alinichekesha sana ile mechi ya Simba Vs A Tripol...lile goli alilofunga Balua...Kijili alikimbia na balua akampita balua akapita mpk goli...halafu akarudi akakaa sawa anasubiria apewe mpira afunge...😃😃😃😃😃😃🙃🤣🤣🤣
Ila Boka nae ni hatari hahaha niliona clip yao ya kule Ua vikini tauni...yani alikua anakimbiaaa...heeee mpk wenzie wakabaki mdomo wazi...
Viwanja vidogi eti hahaa tuache utani boka ana kasi sana hadi anatamani aingie na mpira golini
 
Back
Top Bottom