Shindano la Mbio za Riadha kati ya Kevin Kijili vs Chadrack Boka

Shindano la Mbio za Riadha kati ya Kevin Kijili vs Chadrack Boka

Kuna hii vita nyingine inaendelea kimya kimya kati ya beki wa kulia wa Simba Kevin Kijili na beki wa kushoto wa Yanga Chadrack Boka. Ni vita ya mchezaji mwenye mbio zaidi.

Ebwana hizi mutu zinakimbia. Nadhani huko wanapotoka walikosa fursa za kuwa wanariadha wakajikuta wapo kwenye Soka.

Wazee wa fursa, break ya December andaeni shindano la kukimbia pale uwanja wa Amaan kati ya hawa wajuba wawili, mtapiga pesa nyingi saaaana. Hauwezi kukosa wajingawajinga wa kutosha kudhamini tukio zima plus viingilio. Na hapo ukiongeza vionjo vya usimba na uyanga, mbona shughuli itaenda mjini.
Mzee nadhamini pambano hili. Tunajaza amani stadium kbs.
 
Lakini Ngiri mwambieni atumie akili sasa manake anafyatuka kama kombora lakini mwishoni anapiga baiskeli za kinyankole harafu anandondoka chini na kazi inaishia hapo hapo..
 
Back
Top Bottom