Usimfananishe Boka, na vitu vya ajabu. Kijili hata krosi hawezi kupiga.Kuna hii vita nyingine inaendelea kimya kimya kati ya beki wa kulia wa Simba Kevin Kijili na beki wa kushoto wa Yanga Chadrack Boka. Ni vita ya mchezaji mwenye mbio zaidi.
Ebwana hizi mutu zinakimbia. Nadhani huko wanapotoka walikosa fursa za kuwa wanariadha wakajikuta wapo kwenye Soka.
Wazee wa fursa, break ya December andaeni shindano la kukimbia pale uwanja wa Amaan kati ya hawa wajuba wawili, mtapiga pesa nyingi saaaana. Hauwezi kukosa wajingawajinga wa kutosha kudhamini tukio zima plus viingilio.
Yaani daah, hakuwa anaweza offside wala nini. Nilichompendea baada ya Balua kufunga hakuwa na hiana wana nini, akaenda kushangilia naye kwa energy ile ileKijili alinichekesha sana ile mechi ya Simba Vs A Tripol...lile goli alilofunga Balua...Kijili alikimbia na balua akampita balua akapita mpk goli...halafu akarudi akakaa sawa anasubiria apewe mpira afunge...ππππππππ€£π€£π€£
Ila Boka nae ni hatari hahaha niliona clip yao ya kule Ua vikini tauni...yani alikua anakimbiaaa...heeee mpk wenzie wakabaki mdomo wazi...
Miguu yao mirefu kama ile ya panzi ππ, utofauti wa kisinda na hawa no kua miguu ya kisinda haikua na macho.Kijili alinichekesha sana ile mechi ya Simba Vs A Tripol...lile goli alilofunga Balua...Kijili alikimbia na balua akampita balua akapita mpk goli...halafu akarudi akakaa sawa anasubiria apewe mpira afunge...ππππππππ€£π€£π€£
Ila Boka nae ni hatari hahaha niliona clip yao ya kule Ua vikini tauni...yani alikua anakimbiaaa...heeee mpk wenzie wakabaki mdomo wazi...
Simba ya sasa hawana bifu..na hawaoneani vijicho...yani yy alikua ameshakua offside kama sikosei..ππYaani daah, hakuwa anaweza offside wala nini. Nilichompendea baada ya Balua kufunga hakuwa na hiana wana nini, akaenda kushangilia naye kwa energy ile ile
Ndio ubaya ubwela wenyewe sasa...yani unahakikisha ndani unapatengeneza vzr kiasi kwamba hakuna chance za outsiders..Yeah alikuwa offside halafu hakutaka hata kujihangaisha kuivunja. Wakiendeleza upendo kati yao watasumbua saana
Viwanja vidogi eti hahaa tuache utani boka ana kasi sana hadi anatamani aingie na mpira goliniKijili alinichekesha sana ile mechi ya Simba Vs A Tripol...lile goli alilofunga Balua...Kijili alikimbia na balua akampita balua akapita mpk goli...halafu akarudi akakaa sawa anasubiria apewe mpira afunge...ππππππππ€£π€£π€£
Ila Boka nae ni hatari hahaha niliona clip yao ya kule Ua vikini tauni...yani alikua anakimbiaaa...heeee mpk wenzie wakabaki mdomo wazi...
Mbio bila akili inahusiana na bangi, ndiyo uhusiano.Kwani krosi inahusiana vipi na mada hii?
Duh huyo boka inaelekea ni mungu wa yangaUsimfananishe Boka, na vitu vya ajabu. Kijili hata krosi hawezi kupiga.
Acha kumkufuru Mungu weweDuh huyo boka inaelekea ni mungu wa yanga
mungu wa yanga ni boka ..[emoji706]Acha kumkufuru Mungu wewe