Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ww si unalipwa mil 30 kwa mwaka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ww si unalipwa mil 30 kwa mwaka?
Kwahyo ukulipwa mil30 ndo uachie sh200 kiboya?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwer kabisa mwendo wa kudinda tuWataalam,
Leo nmepanda daladala hapa Dar, Yani saivi tu kama nusu saa ilopita nilikuwa natoka job nmeachana na yule broo aliyeniunganisha na hyo kazi(nmemuachia 30k)....
, Sasa nauli nakoenda ni 800, mi konda nikampa buku ila hakunrudishia chenji.
Ile nashuka nkadai chenji akasema eti ameshanipa halafu anakaza kichizi.
Nikamwambia "acha uxenge we kima, em tapika hyo 200"
Kumbe jamaa naye anataka anioneshe umwamba. Yeye anadai ashanipa chenji...nikimcheki juu ana rasta halafu macho mekundu. Mimi apo nmechomekea shati jeupe viatu vinang'aa kiwi.
Kujisächi mfukoni sioni hyo 200.
Nkaona huyu boya anataka anizoee,
Nikamshika shati Nikamwambia "we kima huondoki apa mpaka uniachie iyo 200"
Akasema '' nshakupa, kwahyo unataka nkurudishie chenji mara mbili upate na faida? "
Nkwambia "boya we hunijui"
Nkamkamata shingo apo nikashuka chinj huku namvuta kwa nje ya gari. Mda huo abiria wanalalamika wanawahi na dereva anamwambia anipe halo ka 200 waondoke.
ila jamaa akawa anaona kama zarau kuaibishwa vile, kwahyo tukawa tunadindiana kama majogoo wawili pale stendi.
Afu jamaa akiona nmechomekea anachukulia mim mchumba.
Stendi Zima ikasimama watu wote wameacha shughuli zao wanashangaa Hilo tukio la bro mtanashati aliyechomekea anadindiana na konda mvuta bangi kisa 200.
Nikamwambia "Oya, leo umeyakanyaga kmmk, Yani huondoki apa. hao abiria waambie watafute gesti maana watalala hapa, huondoki apa bila kuachia iyo 200"
Dah! Jamaa alivoona nmekaza sana na Niko serious halafu yeye ndo anapata hasara ikabidi aiteme hyo 200 na kuniachia.
Funzo: Sio Kila aliyechomekea ni don, mtumishi, wakuja au boya. Kuna wengine sisi ni maninja ila tunajidisguise kwenye mavazi tu. Msituchukulie simpo.
SawaDah apo Sasa itakuwa ngumu dada angu ..uku wanataka degree kuendelea
Sijui ata iko wapiMkuu hiyo 200 bado unayo..!?
Shushia na maandaziChai
yaan ujue kulipiza kisasi bila direct contact na aggressor..
Makonda wanadharau kinomaWataalam,
Leo nmepanda daladala hapa Dar, Yani saivi tu kama nusu saa ilopita nilikuwa natoka job nmeachana na yule broo aliyeniunganisha na hyo kazi(nmemuachia 30k)....
, Sasa nauli nakoenda ni 800, mi konda nikampa buku ila hakunrudishia chenji.
Ile nashuka nkadai chenji akasema eti ameshanipa halafu anakaza kichizi.
Nikamwambia "acha uxenge we kima, em tapika hyo 200"
Kumbe jamaa naye anataka anioneshe umwamba. Yeye anadai ashanipa chenji...nikimcheki juu ana rasta halafu macho mekundu. Mimi apo nmechomekea shati jeupe viatu vinang'aa kiwi.
Kujisächi mfukoni sioni hyo 200.
Nkaona huyu boya anataka anizoee,
Nikamshika shati Nikamwambia "we kima huondoki apa mpaka uniachie iyo 200"
Akasema '' nshakupa, kwahyo unataka nkurudishie chenji mara mbili upate na faida? "
Nkwambia "boya we hunijui"
Nkamkamata shingo apo nikashuka chinj huku namvuta kwa nje ya gari. Mda huo abiria wanalalamika wanawahi na dereva anamwambia anipe halo ka 200 waondoke.
ila jamaa akawa anaona kama zarau kuaibishwa vile, kwahyo tukawa tunadindiana kama majogoo wawili pale stendi.
Afu jamaa akiona nmechomekea anachukulia mim mchumba.
Stendi Zima ikasimama watu wote wameacha shughuli zao wanashangaa Hilo tukio la bro mtanashati aliyechomekea anadindiana na konda mvuta bangi kisa 200.
Nikamwambia "Oya, leo umeyakanyaga kmmk, Yani huondoki apa. hao abiria waambie watafute gesti maana watalala hapa, huondoki apa bila kuachia iyo 200"
Dah! Jamaa alivoona nmekaza sana na Niko serious halafu yeye ndo anapata hasara ikabidi aiteme hyo 200 na kuniachia.
Funzo: Sio Kila aliyechomekea ni don, mtumishi, wakuja au boya. Kuna wengine sisi ni maninja ila tunajidisguise kwenye mavazi tu. Msituchukulie simpo.
Dah kisa chako kimenitachi sana. Sirudii tena huu upuuziMiaka ya nyuma kipindi nipo kwenye hustle kama kijana,niliwahi kuwa na bro mmoja kwa sasa ni marehemu.
Kazi yake ilikuwa ni umakenika,hivyo alinichukua ili nikawe msaidizi na nipate walau za kujikimu.
Basi bwana siku moja jioni mida ya saa kumi na moja tulipanda gari kutoka Kariakoo,tukielekea nyumbani kwake nje kidogo ya mji kwa kipindi kile,ila kwa sasa hiyo sehemu imejengeka huwezi amini kama kulikuwa pori miaka si mingi sana.
Basi bro alitoa pesa yaani nauli ya watu wawili mimi na yeye,kisha konda akakausha ile chenji,kumbuka tulikuwa tunashukia mwisho wa gari yaani daladala inapogeuzia hivyo bro akaona si mbaya kondakta atatupatia tu chenji.
Baada ya kushuka bro alidai chenji yake ila konda alikataa na kudai chenji kashatoa huku akitoa maneno ya kejeli kwa kuimba wimbo wa bendi fulani maarufu miaka hiyo,kuwa bro aache tamaa.
Basi bro alimaindi,licha ya mimi kuona ile chenji si kitu bora angeacha tu lakini bro aliendelea kutaka haki yake ipatikane,
Katika mzozo ule konda alirusha ngumi ikampata bro wangu vizuri sana na teke juu,kisha bro naye akanipora mfuko fulani uliokuwa na starter (kumbuka starter ya TATA 1012 ilivyo nzito) akampiga nayo kichwani.
Konda akaanguka na kupoteza fahamu (japo kwa muda ule tulijua amekufa)
Watu wakajaa wakamuweka bro chini ya ulinzi kisha tukaanza kurudi nyuma tena kwa miguu huku kelele za wadau zikiwa nyingi mno kaua,kaua,kaua.
Moja ya siku mbaya na ngumu kwangu,niliongoza naye hadi kituo cha polisi nikahakikisha kawekwa Selo maana nilikuwa na hofu yule bro wasije wakamuua njiani. kisha nikarudi nyumbani ili nimweleze shemeji kuwa bro kaua na yuko mahabusu.
Bahati nzuri kipindi kile mji bado mdogo pale mtaani ,taarifa zilizagaa kuwa Shaban kaua na zilimfikia shemeji.
Shemeji yeye aliona ni vyema aende kwanza hospitali akathibitishe kama kweli muhusika amefariki,Mungu alisaidia konda hakufa bali alizimia na alikuwa na uwezo wa kuongea na kumbukumbu zilikuwepo ila akapumzishwa kwa ushauri wa madaktari.
Kesho mimi na shemeji tulienda kituo cha polisi ili tukamdhamini bro lakini dhamana ilikataliwa , polisi wakidai hawajapata report toka hospitali.
Basi cha ajabu yule konda baada ya kuruhusiwa alipeleleza hadi mahali anapoishi bro kisha akaongea na shem (mke wa bro) kuwa anaomba twende wote polisi tukamtoe jamaa ili maisha yaendelee.
Japo mimi , shemeji na baadhi ya watu tulihisi labda konda anataka jamaa atoke ili alipe kisasi ,tulikuwa na uoga kidogo lakini kumbe jamaa hakuwa na mpango huo.
Bro akatoka, baada ya siku kadhaa kwa msaada wa yule konda.
Wakawa marafiki wakubwa hata baada ya mimi kutoka na kwenda chuo yule konda alikuja kureplace nafasi yangu kwenye ile gereji.
Ushauri wangu,
Fikirieni sana kabla hamjatenda,jela ipo karibu,kifo kipo karibu.
Maisha ni mafupi mtafungwa au kufa muache familia.
Kwa nini yeye konda hakumsafirisha jamaa bila kumdai nauli kama mia mbili ni ndogo?Utakuja kupata madhara usipende kugombana na WATU .
Hiyo miambili ungrmuachia tu.
Hiyo imeshanitokea mara nyingi sana, nampa 500 akinikazia nimuongeze 100 namjibu sina akiendelea kukaza nampa 10k akate 100 yake100, 200 inaonekana ndogo! Lakini usiombe yakukute upande daladala na nauli pungufu ya 100 au 200 utajuta!
Yaani mtu kishasema ndo anatafuta kaziShindwa aisee nunua hata kastalet au passo uache dhambi
Wewe ni malaika wa kifo mmh shindwa kwa damu ya YesuYaani mtu kishasema ndo anatafuta kazi
Hiyo starlet atanunua kwa pumbu?
Au unafikiri ni mwanamke huyo anaweza kununua kwa kuuza **** ?
Konda alipata somo,ambalo hawez sahau.Miaka ya nyuma kipindi nipo kwenye hustle kama kijana,niliwahi kuwa na bro mmoja kwa sasa ni marehemu.