cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Hahaaaaa flat screen ninayo mzee baba
Rafiki chura ipo?[emoji4][emoji4][emoji4]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rafiki chura ipo?[emoji4][emoji4][emoji4]
[emoji24][emoji24][emoji24]Hahaaaaa flat screen ninayo mzee baba
Vaeni ma baibui kama vipi.
Japokua kuna wengine hua wanajaribu kumtia paka kwenye kiroba ila anagoma kuficha makucha/makali yake (Yani baadhi wanavaa nguo kubwa ili wamfiche chura, ila nae anagoma kufichika)[emoji18]
Nahisi kama hiyo kitu iko so overrated, maana mimi kiukweli sijui application yake kwenye mambo hayo.
Siyo factor muhimu kwangu.
Ni kweli mwenyewe sioni umuhimu wake, Ila kamekuwa ka ugonjwa sugu kwa wanaume
Ewaaaaaa hizi ndo kazi zangu Sasa Asante kusolve shida yanguNimekusaidia ili next tym usigeuke nyuma!View attachment 929898
Mkuu kumbe chura ipoHivi wanaume huwa mnapata raha gani kuangalia chura zetu? Mi huwa sipendi hyo tabia kweli kweli maana naona aibu hafu mibaba mizima ndo imekubuhu.
Mkuu kumbe chura ipo
Nyie mnatabu sana, sasa kuna ubaya gani mtu kucheki "MENU" hata kama upo kwenye diet, kosa kwani hilo.!!! [emoji18]Siwezi vaa baibui Dar hii na joto kisa tamaa zenu wanaume aisee
Ni hype tu, practically mimi nilishashindwa kujua naitumiaje.
Nimebaki mtazamaji tu nikiona watu wanashangilia basi na mimi humo humo, ila hainishughulishi kabisa.
Choo cha maru maru hicho, sio wengine wana choo cha tofali za kuchoma.[emoji120] [emoji120] [emoji120]Nimekusaidia ili next tym usigeuke nyuma!View attachment 929898
Kama haipo wakware wasingegeuka kuangalia chura bhanaHaipo chura
Ni kosa la shambulizi ya aibu mkuu na Kuna sheria yakeNyie mnatabu sana, sasa kuna ubaya gani mtu kucheki "MENU" hata kama upo kwenye diet, kosa kwani hilo.!!! [emoji18]
Sina ona jinsi wanawake wenzangu wanavopata tabuKama haipo wakware wasingegeuka kuangalia chura bhana
Some things can only be experienced but not explained.
Ni sawa mwanaume amuulize mwanamke uchungu was kuzaa...
Ntaaminije kama na wewe unachura maana kunatofauti ya kuwa na tako na kuwa na chura na kuna chura hadi ya three phaseHivi wanaume huwa mnapata raha gani kuangalia chura zetu? Mi huwa sipendi hyo tabia kweli kweli maana naona aibu hafu mibaba mizima ndo imekubuhu.
Mimi sina hyo chura na yakukalia tu siku ziendeNtaaminije kama na wewe unachura maana kunatofauti ya kuwa na tako na kuwa na chura na kuna chura hadi ya three phase
Hahaaaaa hata sijui mkuu.