Shingo inauma kwa sababu ya kutazama makalio ya wakina dada

Shingo inauma kwa sababu ya kutazama makalio ya wakina dada

Siwezi vaa baibui Dar hii na joto kisa tamaa zenu wanaume aisee
Vaeni ma baibui kama vipi.

Japokua kuna wengine hua wanajaribu kumtia paka kwenye kiroba ila anagoma kuficha makucha/makali yake (Yani baadhi wanavaa nguo kubwa ili wamfiche chura, ila nae anagoma kufichika)[emoji18]
 
Nimekusaidia ili next tym usigeuke nyuma!
tapatalk_1541439304690.jpeg
 
Ni kweli mwenyewe sioni umuhimu wake, Ila kamekuwa ka ugonjwa sugu kwa wanaume

Ni hype tu, practically mimi nilishashindwa kujua naitumiaje.

Nimebaki mtazamaji tu nikiona watu wanashangilia basi na mimi humo humo, ila hainishughulishi kabisa.
 
Hivi wanaume huwa mnapata raha gani kuangalia chura zetu? Mi huwa sipendi hyo tabia kweli kweli maana naona aibu hafu mibaba mizima ndo imekubuhu.
Mkuu kumbe chura ipo
 
Hivi wanaume huwa mnapata raha gani kuangalia chura zetu? Mi huwa sipendi hyo tabia kweli kweli maana naona aibu hafu mibaba mizima ndo imekubuhu.
Ntaaminije kama na wewe unachura maana kunatofauti ya kuwa na tako na kuwa na chura na kuna chura hadi ya three phase
 
Back
Top Bottom