Shingo inauma kwa sababu ya kutazama makalio ya wakina dada

Hivi wanaume huwa mnapata raha gani kuangalia chura zetu? Mi huwa sipendi hyo tabia kweli kweli maana naona aibu hafu mibaba mizima ndo imekubuhu.
Hauwezi elewa mkuu ila huwa tukipishana na mizigo halafu tusipoangalia tunafedheheka kabisa na kukosa uchangamfu ila ukiangalia unahisi kama kuna mzigo flani hivi umeutua yaani hadi kuhema unahema kwa amani .na furaha inarejea ...
 
Hivi wanaume huwa mnapata raha gani kuangalia chura zetu? Mi huwa sipendi hyo tabia kweli kweli maana naona aibu hafu mibaba mizima ndo imekubuhu.
Mkuu natamani kupishana na wewe[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Hujawahi kukutana na 40yrs alijaariwa lazima tu utageuka,mf mama sanchi
 
Harafu usipoangalia yaaani amani inapotea kbs[emoji3]
 
Nyie huwa mnaabgalia had flat screen had watoto wadogo. Sasa hujiuliza kuliko ni?
[emoji23] [emoji23] dah! Watt sijawahi kama wapo wanaocheki watoto basi ni pedophiles huyo.
Ila kwa mimi kuanzia as long as kifuani pametuna na ni ke ataangaliwa tu wowowo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…