grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 3,943
- 5,550
Hauwezi elewa mkuu ila huwa tukipishana na mizigo halafu tusipoangalia tunafedheheka kabisa na kukosa uchangamfu ila ukiangalia unahisi kama kuna mzigo flani hivi umeutua yaani hadi kuhema unahema kwa amani .na furaha inarejea ...Hivi wanaume huwa mnapata raha gani kuangalia chura zetu? Mi huwa sipendi hyo tabia kweli kweli maana naona aibu hafu mibaba mizima ndo imekubuhu.