Shingo inauma kwa sababu ya kutazama makalio ya wakina dada

Shingo inauma kwa sababu ya kutazama makalio ya wakina dada

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Nimekuwa Teja wa matak0 ya homosapiens wenzangu. Nimekuwa na tabia mbaya ya kugeuka geuka nyuma automatic kila ninapopishana na mdada.lengo kubwa waga Ni kumcheki yupoje Ana chura au Ana Ana flat yaani ame passed like a shadow.mimi sichagui yoyote naangalia labda tu awe mtu mzima Sana miaka 40 kwenda mbele.sasa naona nimepata Maumivu ya shingo Kama adhabu.huu ulevi wa kuangalia mizigo nataka niuache lakini sijui nianzie wapi.
 
Hivi wanaume huwa mnapata raha gani kuangalia chura zetu? Mi huwa sipendi hyo tabia kweli kweli maana naona aibu hafu mibaba mizima ndo imekubuhu.
Some things can only be experienced but not explained.

Ni sawa mwanaume amuulize mwanamke uchungu was kuzaa...
 
Hivi wanaume huwa mnapata raha gani kuangalia chura zetu? Mi huwa sipendi hyo tabia kweli kweli maana naona aibu hafu mibaba mizima ndo imekubuhu.
Laiti ungejua ..
Kuna raha kuangalia wezere aka chura
 
Hahaaaaa staki kabisa yani yaangaliwe. Mi nikimuona mwanaume wa hivo namjua ni mende had nitakimbia

Hahaha, aisee mimi kinachonigeuza huwa siyo chura kabisa, kwenye checkbox yangu iko kitu hakipo.

Nadhani nina tatizo mahali.
 
Yapo yale ya bandia wanauza, nunua moja uweke home uwe unajinafasi kwa raha zako.
 
Hivi wanaume huwa mnapata raha gani kuangalia chura zetu? Mi huwa sipendi hyo tabia kweli kweli maana naona aibu hafu mibaba mizima ndo imekubuhu.

Makalio yako ni makubwa sana au yana mirindimo sn?
 
Ni shida mnayo itakuwa Kuna mmoja nusu agongwe mwingine had udenda kabisa. Wanaume mnapata tabu sana

Nahisi kama hiyo kitu iko so overrated, maana mimi kiukweli sijui application yake kwenye mambo hayo.

Siyo factor muhimu kwangu.
 
Hivi wanaume huwa mnapata raha gani kuangalia chura zetu? Mi huwa sipendi hyo tabia kweli kweli maana naona aibu hafu mibaba mizima ndo imekubuhu.
Tuache na kz zetu km unataka kuipata raha yake badil jinsia utajua nn tunapata
 
Hivi wanaume huwa mnapata raha gani kuangalia chura zetu? Mi huwa sipendi hyo tabia kweli kweli maana naona aibu hafu mibaba mizima ndo imekubuhu.
Rafiki chura ipo?[emoji4][emoji4][emoji4]
 
Back
Top Bottom