Shingo inauma kwa sababu ya kutazama makalio ya wakina dada

Wadada wenye misambwanda mnakazi sana

Bora ya sie kina flatscreen
 
Nimekuwa Teja wa matak0 ya homosapiens wenzangu. Nimekuwa na tabia mbaya ya kugeuka geuka nyuma automatic kila ninapopishana na mdada.lengo kubwa waga Ni kumcheki yupoje Ana chura au Ana Ana flat yaani ame passed like a shadow.mimi sichagui yoyote naangalia labda tu awe mtu mzima Sana miaka 40 kwenda mbele.sasa naona nimepata Maumivu ya shingo Kama adhabu.huu ulevi wa kuangalia mizigo nataka niuache lakini sijui nianzie wapi.
Unamiaka mingapi Ndege Faru?
 
Hivi wanaume huwa mnapata raha gani kuangalia chura zetu? Mi huwa sipendi hyo tabia kweli kweli maana naona aibu hafu mibaba mizima ndo imekubuhu.
Unconscious action!!,yaani basi tu,hutokea,its a man thing!
 
Kama mwanaume kamili,lazma ugeuke,lkn kama gasho unaona normal to,
 
Nimekuwa Teja wa matak0 ya homosapiens wenzangu. Nimekuwa na tabia mbaya ya kugeuka geuka nyuma automatic kila ninapopishana na mdada.lengo kubwa waga Ni kumcheki yupoje Ana chura au Ana Ana flat yaani ame passed like a shadow.mimi sichagui yoyote naangalia labda tu awe mtu mzima Sana miaka 40 kwenda mbele.sasa naona nimepata Maumivu ya shingo Kama adhabu.huu ulevi wa kuangalia mizigo nataka niuache lakini sijui nianzie wapi.
Mbona picha hakuna?
 
Hivi wanaume huwa mnapata raha gani kuangalia chura zetu? Mi huwa sipendi hyo tabia kweli kweli maana naona aibu hafu mibaba mizima ndo imekubuhu.
Thamani ya kondoo mkia wake ulivyonona
 
Back
Top Bottom