George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
mfanyishe mazoezi tuHabari wanajukwaa?
Mtoto wangu ana miezi mitatu na siku kadhaa, shingo yake bado haijakaza, ukimkalisha anainamisha shingo kwa mbele, yaani anaangalia chini.
Hii hali inanitia wasiwasi, naombeni ushauri nifanye nini ili shingo ya mwanangu ikaze.
Nimeoa, na ninaishi na mama wa mtoto.
Nielekeze vizuri Broh, kuhusu haya mazoezi kwa mtoto.mfanyishe mazoezi tu
Sawa kiongozi, kwahiyo nikiacha kufanya hivyo mwanangu atakaa sawa?Acha kumt*** MBA mama yake wakati huu maana mi ngunjo yako ndio inaharibu huyo mtoto......just give him a break
mkalishe, swing its head front back and sideways kila siku kabla hajaogaNielekeze vizuri Broh, kuhusu haya mazoezi kwa mtoto.
Sawa kiongozi, kwahiyo nikiacha kufanya hivyo mwanangu atakaa sawa?
sio tatizo hilo, mzigoAcha kumt*** MBA mama yake wakati huu maana mi ngunjo yako ndio inaharibu huyo mtoto......just give him a break
Nimekupata vizuri, nashukuru kwa ushauri huu.mkalishe, swing its head front back and sideways kila siku kabla hajaoga
poa poaNimekupata vizuri, nashukuru kwa ushauri huu.
Usiwe na wasiwasi mzee. Bado yupo kwenye ukuaji wa kawaida kama watoto wengine kama hakuwa na shida yeyote wakati wa kuzaliwa.Habari wanajukwaa?
Mtoto wangu ana miezi mitatu na siku kadhaa, shingo yake bado haijakaza, ukimkalisha anainamisha shingo kwa mbele, yaani anaangalia chini.
Hii hali inanitia wasiwasi, naombeni ushauri nifanye nini ili shingo ya mwanangu ikaze.
Nimeoa, na ninaishi na mama wa mtoto.
Endelea kumchua shingoni na mafuta ya nazi ukiyapitisha kwenye Moto kidogo.......hii ya kuacha kulala na mama yake mapema itamuondolea kumbemenda kabisaSawa kiongozi, kwahiyo nikiacha kufanya hivyo mwanangu atakaa sawa?
Nimekuelewa vyema mkongwe, mtoto alizaliwa bila shida yoyote. Kwasasa shingo yake imekaza kidogo, ipo tofauti na alivyozaliwa, kwasasa anaweza kuzungusha shingo kuangalia sehemu tofauti tofauti.Usiwe na wasiwasi mzee. Bado yupo kwenye ukuaji wa kawaida kama watoto wengine kama hakuwa na shida yeyote wakati wa kuzaliwa.
Kwa sababu, mtoto kuiweza shingo kabisa kikawaida hufika miezi 3 mpaka miezi 4. Huo ni wastani. Ina maana watoto watakaoweza ku achieve that goal before 3 month of age na wale watakaoweza ndani ya miezi 3-4 tofauti yao itakuwa ni, mmoja kakua haraka na huyo mwengine kakua kawaida.
Ila hakikisha kutokuweza huko kwa shingo kusiwe kama vile alivyokuwa na mwezi 1 (marked head lag) badala yake anatakiwa awe ameiweza hata kidogo (limited head lag) kwa huo umri wake wa miezi mi3. Otherwise, It's abnomal.
Hiyo ya kuzungusha shingo kuelekea kwenye upande wowote ni goal ambayo mtoto wa miezi 2 anatakiwa awe tayari ameshaifikia.Nimekuelewa vyema mkongwe, mtoto alizaliwa bila shida yoyote. Kwasasa shingo yake imekaza kidogo, ipo tofauti na alivyozaliwa, kwasasa anaweza kuzungusha shingo kuangalia sehemu tofauti tofauti.
Wasiwasi wangu ulikuwa ni kwenye kukaza/kukomaa shingo moja kwa moja, nilidhani miezi mitatu inatosha kwa shingo ya mtoto kukaza kabisa.
Mkuu ulipata suluhishoHabari wanajukwaa?
Mtoto wangu ana miezi mitatu na siku kadhaa, shingo yake bado haijakaza, ukimkalisha anainamisha shingo kwa mbele, yaani anaangalia chini.
Hii hali inanitia wasiwasi, naombeni ushauri nifanye nini ili shingo ya mwanangu ikaze.
Nimeoa, na ninaishi na mama wa mtoto.
Alikujaga kuacha mwenyewe tu.Mkuu ulipata suluhisho
Ahaa mda wake ulikuwa badoAlikujaga kuacha mwenyewe tu.
Nadhani alitaka kunipa stress tu.