George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
- Thread starter
- #21
Vipi chief, una tiba ya watoto wanaosumbuliwa na hii shida.Ahaa mda wake ulikuwa bado
Sijastaafu kutia mimba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi chief, una tiba ya watoto wanaosumbuliwa na hii shida.Ahaa mda wake ulikuwa bado
Mazoezi tu brother nakumpa muda. Otherwise awe nashida nyingineVipi chief, una tiba ya watoto wanaosumbuliwa na hii shida.
Sijastaafu kutia mimba.
Okay!Mazoezi tu brother nakumpa muda. Otherwise awe nashida nyingine
Uchelewaji mkuu mtoto akichelewa ukuaji hata hatua nyingne atachelewaOkay!
Ila watoto wanasumbua sana aisee.
Huyu dogo shida imebaki kwenye kuongea, ni mzito hatari.
Yeah, Bi mkubwa pia amenielekeza hivyo. Ameniambia kwakuwa anaweza kuongea maneno kadhaa muhimu basi suala la kupiga ngenga ni jambo la muda tu.Uchelewaji mkuu mtoto akichelewa ukuaji hata hatua nyingne atachelewa