George Betram JF-Expert Member Joined Oct 10, 2015 Posts 4,672 Reaction score 6,272 Feb 24, 2025 Thread starter #21 Kidagaa kimemwozea said: Ahaa mda wake ulikuwa bado Click to expand... Vipi chief, una tiba ya watoto wanaosumbuliwa na hii shida. Sijastaafu kutia mimba.
Kidagaa kimemwozea said: Ahaa mda wake ulikuwa bado Click to expand... Vipi chief, una tiba ya watoto wanaosumbuliwa na hii shida. Sijastaafu kutia mimba.
Kidagaa kimemwozea JF-Expert Member Joined Jul 13, 2018 Posts 3,680 Reaction score 6,554 Feb 24, 2025 #22 George Betram said: Vipi chief, una tiba ya watoto wanaosumbuliwa na hii shida. Sijastaafu kutia mimba. Click to expand... Mazoezi tu brother nakumpa muda. Otherwise awe nashida nyingine
George Betram said: Vipi chief, una tiba ya watoto wanaosumbuliwa na hii shida. Sijastaafu kutia mimba. Click to expand... Mazoezi tu brother nakumpa muda. Otherwise awe nashida nyingine
George Betram JF-Expert Member Joined Oct 10, 2015 Posts 4,672 Reaction score 6,272 Feb 24, 2025 Thread starter #23 Kidagaa kimemwozea said: Mazoezi tu brother nakumpa muda. Otherwise awe nashida nyingine Click to expand... Okay! Ila watoto wanasumbua sana aisee. Huyu dogo shida imebaki kwenye kuongea, ni mzito hatari.
Kidagaa kimemwozea said: Mazoezi tu brother nakumpa muda. Otherwise awe nashida nyingine Click to expand... Okay! Ila watoto wanasumbua sana aisee. Huyu dogo shida imebaki kwenye kuongea, ni mzito hatari.
Kidagaa kimemwozea JF-Expert Member Joined Jul 13, 2018 Posts 3,680 Reaction score 6,554 Feb 24, 2025 #24 George Betram said: Okay! Ila watoto wanasumbua sana aisee. Huyu dogo shida imebaki kwenye kuongea, ni mzito hatari. Click to expand... Uchelewaji mkuu mtoto akichelewa ukuaji hata hatua nyingne atachelewa
George Betram said: Okay! Ila watoto wanasumbua sana aisee. Huyu dogo shida imebaki kwenye kuongea, ni mzito hatari. Click to expand... Uchelewaji mkuu mtoto akichelewa ukuaji hata hatua nyingne atachelewa
George Betram JF-Expert Member Joined Oct 10, 2015 Posts 4,672 Reaction score 6,272 Feb 24, 2025 Thread starter #25 Kidagaa kimemwozea said: Uchelewaji mkuu mtoto akichelewa ukuaji hata hatua nyingne atachelewa Click to expand... Yeah, Bi mkubwa pia amenielekeza hivyo. Ameniambia kwakuwa anaweza kuongea maneno kadhaa muhimu basi suala la kupiga ngenga ni jambo la muda tu.
Kidagaa kimemwozea said: Uchelewaji mkuu mtoto akichelewa ukuaji hata hatua nyingne atachelewa Click to expand... Yeah, Bi mkubwa pia amenielekeza hivyo. Ameniambia kwakuwa anaweza kuongea maneno kadhaa muhimu basi suala la kupiga ngenga ni jambo la muda tu.