Shinikizo laongezeka dhidi ya serikali ya Ethiopia kuhusu jimbo la Tigray

Lengo la serikali ya majimbo ni kushusha madaraka mpaka mikoani, hiyo hofu ya kujitenga mnaitoa wapi?

Kwanini mnampa kiongozi wa nchi mamlaka makubwa ya kuwateulia watu kiongozi wa mkoa ilihali raia wa eneo hilo wanaweza kufanya hilo?
Kushusha mamlaka mkoani ni upuuzi,
Taifa linapoteza umoja
 
Umoja unajengwa kwa kumpa mtu mmoja madaraka makubwa?... anyway kila mmoja ana mtazamo wake.
Sisi tanzania na mfumo wetu wa ukuu wa mikoa na hao wa Ethiopia, nigeria na kenya wenye majimbo wapi taifa limetulia hakuna chokochoko za mkoa ama jimbo kujitenga?

Jibu ni sisi tanzania, ndio mjue sio kusifu tu na kuona vya we zetu ni bora kumbe vyetu ni bora ila ulimbukeni unatufanya tusione ubora wetu
 
Mbona unatoa mifano ya walioshindwa tu?....hizo chokochoko zao hazisababishwi na mfumo ila kuna mengi tu kama ukabila, udini na upendeleo wa kieneo.

Sasa Tz hakuna hayo matatizo...sasa hiyo hofu ya majimbo ya nini?
 
Yani mfumo wetu ndio umefanya huo ukabila udini usivume, ila ukifuta mfumo wetu tu, hayo yote yataibuka
 
Aaah!.ila hiyo ni hofu yenu tu...kwa sasa Tz kuna mchanganyiko mkubwa wa makabila tofauti tofauti na dini zaidi ya moja hasa miji mikubwa na hata huko mikoani.
 
Mbona unatoa mifano ya walioshindwa tu?....hizo chokochoko zao hazisababishwi na mfumo ila kuna mengi tu kama ukabila, udini na upendeleo wa kieneo.

Sasa Tz hakuna hayo matatizo...sasa hiyo hofu ya majimbo ya nini?

kwan unahisi hayo matatizo hujitokeza yenyewe tu, serikali za majimbo kwa bara la afrika lazima izae ukabila, udini na upendeleo wa kimaeneo

ondoa ushabik unajadili kitu , maana unachokipinga mbona kinajieleza chenyewe
 
Aaah!.ila hiyo ni hofu yenu tu...kwa sasa Tz kuna mchanganyiko mkubwa wa makabila tofauti tofauti na dini zaidi ya moja hasa miji mikubwa na hata huko mikoani.

mkuu jitahid kuongea kwa research , kwasasa kuna kasintofahamu ka udini tunasubir bomu lilipuke tu

binafs nmekaa na waislam wengi na nkagundua huwa hawapend watoto, ndugu au jamaa zao kufunga ndoa na dini nyingine na hivyo hivyo kwa imani nyingine , mbali na hapo nmwai zunguka kipind cha nyuma kdgo nikiwa natafuta kazi ila nlistaajabu kuulizwa dini na kabila langu ila baada ya kujua mimi ni dini x basi ndo inaishia hapo , achana na hii angalia hata kwenye mfumo wa kimaisha kuna watu wa dini z huwa hawapendi kufungamana na dini nyingine

hivyo ni viashiria tosha kuwa ukabila na udini upo Tanzania ila ndo bado hatuelew udini na ukabila ukoje , sisi tunaona kawaida tunapoina mtu anamkingia kifua mkabila mwenzie pindi wanapoomba kaz au mashuleni pasipo kupewa kitu
 
mkuu jitahid kuongea kwa research , kwasasa kuna kasintofahamu ka udini tunasubir bomu lilipuke tu
Hako ka sintofahamu mnakakuza tu nyie kwa hofu zenu mlizojijengea, hakuna bomu lolote la udini acheni uwoga.

binafs nmekaa na waislam wengi na nkagundua huwa hawapend watoto, ndugu au jamaa zao kufunga ndoa na dini nyingine na hivyo hivyo kwa imani nyingine , m
Hao ni asilimia chache sana ya watz, huwezi kuwatumia hao wachache kuhitimisha kwamba wote wapo hivyo,kwa Sasa ndani ya koo nyingi Tz kuna mchanganyiko wa zaidi ya dini moja.

mbali na hapo nmwai zunguka kipind cha nyuma kdgo nikiwa natafuta kazi ila nlistaajabu kuulizwa dini na kabila langu ila baada ya kujua mimi ni dini x basi ndo inaishia hapo ,
Hilo ni jambo la kawaida tu, kuna baadhi ya kazi ni ngumu kufanya ikiwa huna imani fulani mfano Mchungaji au Ustadhi isitoshe baadhi ya taasisi ziinafadhiliwa na taasisi zingine za dini hivyo lazima mfanyakazi awe wa imani hiyo ili kurahisisha utendaji.

hivyo ni viashiria tosha kuwa ukabila na udini upo Tanzania ila ndo bado hatuelew udini na ukabila ukoje , sisi tunaona kawaida tunapoina mtu anamkingia kifua mkabila mwenzie pindi wanapoomba kaz au mashuleni pasipo kupewa kitu
Inawezekana upo ila kwa kiwango kidogo sana na haiwezi kuwa sababu ya kupinga kupunguza madaraka makubwa ya serikali kuu na kuhamishia mikoani.
 
kwan unahisi hayo matatizo hujitokeza yenyewe tu, serikali za majimbo kwa bara la afrika lazima izae ukabila, udini na upendeleo wa kimaeneo

ondoa ushabik unajadili kitu , maana unachokipinga mbona kinajieleza chenyewe
Wewe ndio uache ushabiki maana unaandika vitu kwa hisia zako tu.
 
Back
Top Bottom