JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Wanaume mna nini kwani ?
Ususeme wanaume sema Mwanaume amefanya yeye hajatuwakilisha sisi wewe huyo ni yeyeWanaume mna nini kwani ?
Makahaba wamepigwa lock basi angeingia telegram tu bossHapo kama si Ushirikina basi jamaa ana matatizo ya afya ya akili.
Karogwani ushirikina mkuu sio akili ya kawaida.
Na hatujakubaliana hivo na haitokuja tukakubaliana hivo pengine wao wakubaliane lakini sio sisi au sio bwana Stow AwayUsuseme wanaume sema Mwanaume amefanya yeye hajatuwakilisha sisi wewe huyo ni yeye
Kabisa kabisa kwanza hatumtambui hana kadi kwenye chama cha wanaume TZNa hatujakubaliana hivo na haitokuja tukakubaliana hivo pengine wao wakubaliane lakini sio sisi au sio bwana Stow Away
Labda na Mumewe alikua na tabia Kama ya huyo mbakaji ndiyo maana anazani Wanaume wote tuko hivyo!!Ususeme wanaume sema Mwanaume amefanya yeye hajatuwakilisha sisi wewe huyo ni yeye
Kabisaa pengine ametokea Kenya huyo kwa wanaume wa hovyoKabisa kabisa kwanza hatumtambui hana kadi kwenye chama cha wanaume TZ
Kabisa kabisa sisi hatumtambuiKabisaa pengine ametokea Kenya huyo kwa wanaume wa hovyo
😀😀😀 Hatari Ila ni salamaSijui hata