The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
- Thread starter
- #21
Ujuaje wao upoje mana pale wako kazini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujuaje wao upoje mana pale wako kazini
Noma sana!
Sana. Uhai ni tunu inayohitajiwa kila wakatiInasikitisha sana
RIP kijana
AiseeHuyu jamaa baada ya kukanyagwa na kisbo, mabasi mengine mawili yamempitia juu hali iliyopelekea kusagika kabisa.
Haya mabasi yalikuwa yanafukuzana kutoka getini. Amekufa kifo kibaya sana.
RIP Athuman
Elimu Mkuu ni chanzo kwa kila kitu..najiuliza kwann hata hao askari wasingetoa ushauri ili wajilinde kwa lolote? Inaonekana hawakujiandaaa wakat wakija!Japo wananchi wa kawaida kabisa wanaonekana werevu, ila wanawalakini katika kutenda wema wao. Unambebaje mtu anayevuja damu with bare hands ?
Exactly Mkuu..uhai unakua rehani!RIP.
tukio kama hilo limewahikutokea kasulu kwa bwana mmoja ambae pia ni marehem.
Nae alikuwa anaruka kwenye gari likamkanyaga.
Kuna hatari sana kushuka kwenye gari ambalo liko kwenye mwendo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia picha vinzuri, wamevaa gloves.Japo wananchi wa kawaida kabisa wanaonekana werevu, ila wanawalakini katika kutenda wema wao. Unambebaje mtu anayevuja damu with bare hands ?
Limeshawahi tokea pia mkoani songweRIP.
tukio kama hilo limewahikutokea kasulu kwa bwana mmoja ambae pia ni marehem.
Nae alikuwa anaruka kwenye gari likamkanyaga.
Kuna hatari sana kushuka kwenye gari ambalo liko kwenye mwendo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli, wananchi walifanya ubinadamu ukizingatia aliyefariki ni mwenzao pasipo kutathmini hatari wanayojiwekea pengine kutokana na ufinyu wa elimu. Hao waliovaa sare sasa tunaamini wao kidogo wana elimu na uzoefu wa matukio kama hayo na wanajua wazi tahadhari zinazopaswa kuchukuliwa pindi litokeapo tukio kama hilo na pengine ndio maana wameishia kuangalia kwa macho bila kushiriki kwa vitendo. Kwa kuwa wameonekana kutambua tahadhari zinazopaswa kuchukuliwa walishindwa hata kukimbia Pharmacy ya karibu hapo kupata Gloves ?Elimu Mkuu ni chanzo kwa kila kitu..najiuliza kwann hata hao askari wasingetoa ushauri ili wajilinde kwa lolote? Inaonekana hawakujiandaaa wakat wakija!
Japo wananchi wa kawaida kabisa wanaonekana werevu, ila wanawalakini katika kutenda wema wao. Unambebaje mtu anayevuja damu with bare hands ?
Mkuu, nadhani maana yake hapa ni kuwa inawezekana ndugu yetu aliyefariki damu yake ilikuwa na Ukimwi na hao wenzetu waliokimbilia kumsaidia labda onawezekana mmoja akawa na mkwaruzo tu mkononi...damu ya huyo marehemu ikimpata tu kwenye kidonda maana yake ni kuwa naye tayari yupo kwenye hatari ya kupata maambukizi...!huyo ni mtu aliyekufa tu wananchi kumshika kisa amekufa si vibaya na kuanza kusema atawaambikiza magonjwa ni kumnyanyapaa marehemu tu mtu huyo alikuwa kazini kakanyangwa tu na aanze kuambukiza magonjwa ? fikiri vizuri
Mbona wamevaa gloves. Why tunapenda kulaumu sana? Rudi anagalia hiyo picha vinzuri, hao watu wamevaa gloves.Ni kweli, wananchi walifanya ubinadamu ukizingatia aliyefariki ni mwenzao pasipo kutathmini hatari wanayojiwekea pengine kutokana na ufinyu wa elimu. Hao waliovaa sare sasa tunaamini wao kidogo wana elimu na uzoefu wa matukio kama hayo na wanajua wazi tahadhari zinazopaswa kuchukuliwa pindi litokeapo tukio kama hilo na pengine ndio maana wameishia kuangalia kwa macho bila kushiriki kwa vitendo. Kwa kuwa wameonekana kutambua tahadhari zinazopaswa kuchukuliwa walishindwa hata kukimbia Pharmacy ya karibu hapo kupata Gloves ?