Shinyanga: Ajenti wa Basi la Kisibo akanyagwa na Basi hilo na kufariki hapo hapo wakati akirukia kwenye Basi hilo

Shinyanga: Ajenti wa Basi la Kisibo akanyagwa na Basi hilo na kufariki hapo hapo wakati akirukia kwenye Basi hilo

Japo wananchi wa kawaida kabisa wanaonekana werevu, ila wanawalakini katika kutenda wema wao. Unambebaje mtu anayevuja damu with bare hands ?
Elimu Mkuu ni chanzo kwa kila kitu..najiuliza kwann hata hao askari wasingetoa ushauri ili wajilinde kwa lolote? Inaonekana hawakujiandaaa wakat wakija!
 
RIP.

tukio kama hilo limewahikutokea kasulu kwa bwana mmoja ambae pia ni marehem.
Nae alikuwa anaruka kwenye gari likamkanyaga.

Kuna hatari sana kushuka kwenye gari ambalo liko kwenye mwendo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly Mkuu..uhai unakua rehani!
Wao huona wanafanya wepesi kumbe ni wepesi wa kuwahi ahera!
 
Japo wananchi wa kawaida kabisa wanaonekana werevu, ila wanawalakini katika kutenda wema wao. Unambebaje mtu anayevuja damu with bare hands ?
Angalia picha vinzuri, wamevaa gloves.
 
RIP.

tukio kama hilo limewahikutokea kasulu kwa bwana mmoja ambae pia ni marehem.
Nae alikuwa anaruka kwenye gari likamkanyaga.

Kuna hatari sana kushuka kwenye gari ambalo liko kwenye mwendo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Limeshawahi tokea pia mkoani songwe
Kondakta katika kudandia gari akadondoka na gari ikamkanyaga akafa papohapo.
Ni mwaka Jana nadhani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elimu Mkuu ni chanzo kwa kila kitu..najiuliza kwann hata hao askari wasingetoa ushauri ili wajilinde kwa lolote? Inaonekana hawakujiandaaa wakat wakija!
Ni kweli, wananchi walifanya ubinadamu ukizingatia aliyefariki ni mwenzao pasipo kutathmini hatari wanayojiwekea pengine kutokana na ufinyu wa elimu. Hao waliovaa sare sasa tunaamini wao kidogo wana elimu na uzoefu wa matukio kama hayo na wanajua wazi tahadhari zinazopaswa kuchukuliwa pindi litokeapo tukio kama hilo na pengine ndio maana wameishia kuangalia kwa macho bila kushiriki kwa vitendo. Kwa kuwa wameonekana kutambua tahadhari zinazopaswa kuchukuliwa walishindwa hata kukimbia Pharmacy ya karibu hapo kupata Gloves ?
 
The Humble Dreamer,
Wakati mwingine ni bahati mbaya tu maana mtu hiyo ni kazi yake ya kila siku, tusikike mbali kwa vile amekufa mtu. Inawezekana kabisa muda wa kifo chake umefika na kwa vile hatujui mambo ya kifo na siku ya kufa tunaweza kuongea mengi wakati ni mambo ya kawaida na bahati mbaya pia pole kwao
 
The Humble Dreamer,
Huyo ni mtu aliyekufa tu wananchi kumshika kisa amekufa si vibaya na kuanza kusema atawaambikiza magonjwa ni kumnyanyapaa marehemu tu mtu huyo alikuwa kazini kakanyangwa tu na aanze kuambukiza magonjwa? Fikiri vizuri
 
huyo ni mtu aliyekufa tu wananchi kumshika kisa amekufa si vibaya na kuanza kusema atawaambikiza magonjwa ni kumnyanyapaa marehemu tu mtu huyo alikuwa kazini kakanyangwa tu na aanze kuambukiza magonjwa ? fikiri vizuri
Mkuu, nadhani maana yake hapa ni kuwa inawezekana ndugu yetu aliyefariki damu yake ilikuwa na Ukimwi na hao wenzetu waliokimbilia kumsaidia labda onawezekana mmoja akawa na mkwaruzo tu mkononi...damu ya huyo marehemu ikimpata tu kwenye kidonda maana yake ni kuwa naye tayari yupo kwenye hatari ya kupata maambukizi...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli, wananchi walifanya ubinadamu ukizingatia aliyefariki ni mwenzao pasipo kutathmini hatari wanayojiwekea pengine kutokana na ufinyu wa elimu. Hao waliovaa sare sasa tunaamini wao kidogo wana elimu na uzoefu wa matukio kama hayo na wanajua wazi tahadhari zinazopaswa kuchukuliwa pindi litokeapo tukio kama hilo na pengine ndio maana wameishia kuangalia kwa macho bila kushiriki kwa vitendo. Kwa kuwa wameonekana kutambua tahadhari zinazopaswa kuchukuliwa walishindwa hata kukimbia Pharmacy ya karibu hapo kupata Gloves ?
Mbona wamevaa gloves. Why tunapenda kulaumu sana? Rudi anagalia hiyo picha vinzuri, hao watu wamevaa gloves.
 
Back
Top Bottom