Kazi kweli kweli......hiii bajeti tu ya kuharibu uchaguzi inazidi baejti ya uchaguzi wenyeweTunatumia pesa nyingi kufanya vituko.
Afrika ngumu sana, yaani kitu ambacho inatakiwa kifanyike kwa uwazi na demokrasia nacho kimetushindaWakuu,
Kwani yale matokeo walisema saa nne yanakamilika imekuaje?
View attachment 3163393
Mwanamke mmoja amekamatwa na kura zaidi ya 100 ambazo tayari zimeshapigwa.
Kilingana na ripoti ni kwamba kura hizo ambazo zimepatikana katika kituo cha Shule ya Msingi ya Mwasele Matengini Shinyanga Mjini, zilikuwa zimepigwa kwa wagombea wa CCM.
Mwanzo plus
Na mwakani wapiga kura watapungua sanaKupiga kura Tz ni ujing tu n kupotez mda .hawa bila mshike mshike hawatoki
Hatar sana
Na mwakani wapiga kura watapungua sana
iko hivyoKupiga kura Tz ni ujing tu n kupotez mda .hawa bila mshike mshike hawatoki
CCM ni wezi
Yaani CCM hata kuwaita nyani, unakuwa umewapa sifa kubwa slmno. Madhara ya CCM kwa watanzania ni aheri ya nyani ana faida.
Fikiria mijitu inayoua binadamu wenzao kwaajili ya uchaguzi.
Wapuuzi first grade
Kazi kweli kweli......hiii bajeti tu ya kuharibu uchaguzi inazidi baejti ya uchaguzi wenyewe