LGE2024 Shinyanga: Apatikana na karatasi za kura ambazo zimepigwa kwa mgombea wa CCM zaidi ya 100

LGE2024 Shinyanga: Apatikana na karatasi za kura ambazo zimepigwa kwa mgombea wa CCM zaidi ya 100

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Pesa za kuajiri halitosis,halafu uchaguzi pesa zinatumika nyingi wakati unaambatana na udanganyifu,kwanini isipitishwe sheria bungeni kua vyeo vyote kuwe kunafanyika uteuzi,ili kuokoa mabilioni ya pesa?
Hii inauma sana,watu tunapigika kitaa,tunajaribu mishe mbalimbali zinagoma,tunasema walau ajira zunaweza kutupa mitaji,halafu walioshikilia makali wanaazimia kufanya uchaguzi ambao unaambatana na visa vya udqnganyifu na mauaji baadhi ya sehemu.
Inakera sana,ila ipo siku.
 
Wakuu,

Kwani yale matokeo walisema saa nne yanakamilika imekuaje?
View attachment 3163393

Mwanamke mmoja amekamatwa na kura zaidi ya 100 ambazo tayari zimeshapigwa.

Kilingana na ripoti ni kwamba kura hizo ambazo zimepatikana katika kituo cha Shule ya Msingi ya Mwasele Matengini Shinyanga Mjini, zilikuwa zimepigwa kwa wagombea wa CCM.

Mwanzo plus
Afrika ngumu sana, yaani kitu ambacho inatakiwa kifanyike kwa uwazi na demokrasia nacho kimetushinda
 
Back
Top Bottom