ki2c
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 7,719
- 14,506
Pesa za kuajiri halitosis,halafu uchaguzi pesa zinatumika nyingi wakati unaambatana na udanganyifu,kwanini isipitishwe sheria bungeni kua vyeo vyote kuwe kunafanyika uteuzi,ili kuokoa mabilioni ya pesa?
Hii inauma sana,watu tunapigika kitaa,tunajaribu mishe mbalimbali zinagoma,tunasema walau ajira zunaweza kutupa mitaji,halafu walioshikilia makali wanaazimia kufanya uchaguzi ambao unaambatana na visa vya udqnganyifu na mauaji baadhi ya sehemu.
Inakera sana,ila ipo siku.