Shinyanga: Babu abaka Mjukuu wake wa miaka 7 wakati Bibi akiwa amelazwa Hospitalini

Shinyanga: Babu abaka Mjukuu wake wa miaka 7 wakati Bibi akiwa amelazwa Hospitalini

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia Juma Emmanuel (53) mkazi wa Nhelegani katika Manispaa ya Shinyanga kwa kosa la kubaka.

Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari ambayo imetolewa leo Aprili 17, 2021 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, ACP Debora Magiligimba, tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia Aprili 16, mwaka huu katika maeneo ya Ndembezi mjini Shinyanga, ambapo mtuhumiwa huyo alimbaka mtoto mwenye umri wa miaka 7 ambaye ni mjukuu wake.

Taarifa hiyo ya jeshi la polisi imeeleza kuwa chanzo cha tukio hilo ni mmonyonyoko wa maadili, ambapo mtuhumiwa alimchukua mtoto huyo usiku kutoka chumba cha kulala watoto na kumpeleka kwenye chumba chake kisha kumuingilia kimwili.

“Mnamo Aprili 16, 2021 majira ya saa nne asubuhi jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga lilipokea taarifa kuwa maeneo ya Ndembezi, mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 07 (jina linahifadhiwa) alibakwa na mtuhumiwa huyo ambaye ni babu yake….Mtuhumiwa alipata nafasi ya kufanya kitendo hicho wakati mke wake akiwa amelazwa hospitali kwa matibabu,” amesema Kamanda Magiligimba.

Amesema mtuhumiwa huyo atafikishwa mahakamani mara baada ya upelelezi kukamilika, huku jeshi hilo likitoa wito kwa wananchi wa mkoa wa Shinyanga kuendelea kutoa taarifa kwa jeshi la polisi ili vitendo hivyo vya ukatili dhidi ya watoto vikomeshwe.

Malunde blog
 
Muda mwingine hizi habari unapozisikia unathibitisha kuwa Matahira walioko Mtaani ni wengi kuliko wale walioko kwenye Vituo vya Tiba!!!
 
Huyo babu akili zake haziko sawa
Anyooshwe tu

Ova
 
Wenye majina haya ya Dini fulani wanapenda Sana tabia hii chafu.
Utadhani hawapo kwenye mfungo.
Mkuu usihukumu dini za watu angalia jina la mtuhumiwa vizur ana majina ya dini mbili Sasa umrhukumu waislamu pekee vip hili Emanuel na sisi wakristo unatuhukumu vip hapo?

CHUKI ZA KIDINI HAZIJENGI ZINASHUSHA HESHIMA YA MTU
 
...Hapo hio Taarifa imekamilika maelezo, lakini Utashangaa Uchunguzi utachukua MIAKA MITATU!

Pia nimeishapata kuuliza Mara kadhaa huko nyuma...hivi ' Mkurunge' hasa wa Mwanaume wa Kibantu unaweza Ukaingia kwenye 'Kijaluba' cha Binti wa Chini ya Miaka 10 kweli...ama in Visa tu vya Watu Kutaka Kukomoana??
 
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Mda mwingine majaribio yafanyike
 
mara nyingine mi hua siamini hizi story eti miaka 53 amtamani mtoto wa miaka 7.

kwa lipi mtoto alilonalo la kumtamanisha mwanaume ?
ungeniambia hata miaka 15 au 16 hv kidogo unaweza ukanishawishi ila miaka 7 hapana.

mara nyingine unakuta ni visa vya k'ukoo vinaendelea ndani kwa ndani kwenye familia nyingi na kuamua kukomoana...

mumesahau yule Mkenya aliyekaa miaka 7 jela kwa kesi ya kumbaka Binti yake na Binti ndiye alitoa ushahidi mahakamani Dingi akafungwa ?

huyo huyo Binti si ndiye alirudi tena kutoa ushuhuda kua alimsingizia Dingi yake baada ya kupangwa na Mama yake ili Dingi akishasepa mazima Mama achukue mali zote ?

haya mambo yaacheni kama yalivo bhana...
 
Ramea kwanini unawachukia waislamu? Walikukosea nini waislamu? Umecomenti ukawai kuifuta, Kuwa makini unachokiongea, na usirudie kuongea ujinga! ipo siku utaongea mbele ya waislamu na hapo ndio utaiona dunia chungu, hakuna atakaekuacha.

"Wenye majina haya ya Dini fulani wanapenda Sana tabia hii chafu.
Utadhani hawapo kwenye mfungo."
 
Juzi Mwalimu wa Madrassa amebaka watoto wawili wanafunzi wake wadogo kabisa

Leo Mzee Juma naye anambaka mjukuu wake kabisa

Amakweli Mtume Mwamedi ni role model kwa wafuasi wake, alichofanya kumbaka Mtoto Aisha (9) ndicho wanachofanya Waumin wake
 
Juma wa usukumani unaweza kuta hata dini hana.
Acha kufikiri kwa kutumia makalio.
 
Juzi Mwalimu wa Madrassa amebaka watoto wawili wanafunzi wake wadogo kabisa

Leo Mzee Juma naye anambaka mjukuu wake kabisa

Amakweli Mtume Mwamedi ni role model kwa wafuasi wake, alichofanya kumbaka Mtoto Aisha (9) ndicho wanachofanya Waumin wake
Juma Emmanuel(huwenda akawa hana dini au ni mkristo,jina la juma,lina maana ya week,haliko kwenye dini yoyote,ila Emanuel ni la kikristo.
 
Back
Top Bottom