Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini:
Yaleyale ya ile kampuni ya QNET
Siku za hivi karibuni kampuni ya Aliance Motion Global imekuwa ikiripotiwa sana kwa kukusanya vijana kutoka sehemu mbalimbali kwa ajiri ya kuwapa mafunzo na kuwapatia ajira huku wakiwatoza vijana hao pesa nyingi na kuwapa bidhaa kwa ajili ya kuuza.
Suala hilo limemfikia Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Wakili Julius Mtatiro, ambaye ametoa agizo la kuifungia kampuni ya Aliance Motion Global na kuwataka kutofanya shughuli hiyo tena kwani wakionekana watakamatwa.
Pia soma > DOKEZO - Tahadhari: Utapeli wa watu waliojificha nyuma ya biashara ya kimtandao ya ‘Alliance in Motion Global’
ITV