Shinyanga: DC Mtatiro aamuru Aliance Motion Global kufungwa kwa tuhuma za kukusanya vijana na kuwatapeli

Shinyanga: DC Mtatiro aamuru Aliance Motion Global kufungwa kwa tuhuma za kukusanya vijana na kuwatapeli

Na hawatokuja kuisha
Hivi muajiri gani anayetaka umpe pesa akufundishe ndo akupe kazi??
Hata kutumia akili za kuvukia barabara watu wanashindwa??
Nchi hii ina wajinga wengi sana

Ova
 
Alafu walioitwa huwa hawapendi kushare na wengine basi wanaona wamepata mchongo kumbe mchongoma unawachoma ss
apana ukishawafikia watakutaka ulete watu wengine zaidi ili upate sijui ndo refferal commision yaani uhuni uhuni tu

Na atakaekuja nae atapaswa kuleta mtu kwa faida ya aliyemtangulia, ni mwendo huo huo hakuna cha maana
 
Cha kufanya na watoto wenu nao watafute watu wa kuwatapeli kulipiza machungu maana hao jamaa wenyewe pia hawana kazi wakajiongeza kuwatapeli nyie , kwahiyo na nyie mjiongeze Tz bado ina wajinga wengi mnaweza kujilipa
 
hao jamaa ndo mfumo wanaoutumia huo!
 
KUNA KAMPUNI INAJIITA ALLIANCE GLOBAL IKO SHINYANGA

MABOSI WAKE WALIWAPIGIA WATU WA MIKOA TOFAUTI WALITANGAZA MAGAZETIN WANATOQ KAZI

UNATAKIWA KULIPA LAK 1 PLUS

JAMAA WAKAITWA WAMEFIKA WAKAPEWA KOZI

WAMEKAA WIKI KADHAAAA HAWAON KOZI INAISHA LIN

WAKIULIZA KAZI WANAMBIWA UNA HARAKA NENDA KWENU

WAKACHOKA WAMEENDA KWA MKUU WA WILAYA J.MTATIRO

WAMELIA MPAKA UNAWAONEA HURUMA

JAMAN WATOTO WETU KWELI WANALIPIWA NA WAZAZI TOKA MOSHI ARUSHA MBEYA KWENDA SHY UNAFIKA UNASEMA KAZI WALIZOTARAJIA WALIPOMALIZA KOZI ATI ZILISHAJAZWA AISEEE

MKUU WA WILAYA HAWA WEKEN NDANI HAO WATOTO N WA MASIKIN WENGINE WAMEUZA NA MBUZI NGOMBE KUPATA NAULI JAMAN

SRC ITV
Hiki kikampuni koko nahisi ni cha mkubwa flani serikalini maana kwa matukio ya vijana kutapeliwa hawajaanza leo lakini bado wanaendelea kutapeli bila kuchukuliwa hatua yoyote!
Kuna binti alipigwa laki Sita unusu kwa ahadi kama hio
 
Wadau hamjamboni nyote?

Taarifa kamili hapo chini:

Yaleyale ya ile kampuni ya QNET

Siku za hivi karibuni kampuni ya Aliance Motion Global imekuwa ikiripotiwa sana kwa kukusanya vijana kutoka sehemu mbalimbali kwa ajiri ya kuwapa mafunzo na kuwapatia ajira huku wakiwatoza vijana hao pesa nyingi na kuwapa bidhaa kwa ajili ya kuuza.

Suala hilo limemfikia Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Wakili Julius Mtatiro, ambaye ametoa agizo la kuifungia kampuni ya Aliance Motion Global na kuwataka kutofanya shughuli hiyo tena kwani wakionekana watakamatwa.

Pia soma > DOKEZO - Tahadhari: Utapeli wa watu waliojificha nyuma ya biashara ya kimtandao ya ‘Alliance in Motion Global’

ITV
Kinachoshangaza....hao jamaa ofisi zao hua zipo jirani tu na ofisi za Umma....wanakaa kimya mpaka watu waibiwe ndio wanawafungia!!!! Kwa nn wasiwe wanachukuliwa hatua mapema.....hao jamaa wamepiga kazi miaka...means weshaibia mamia kwa maelfu ya watu hadi wakachoka.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Taarifa kamili hapo chini:

Yaleyale ya ile kampuni ya QNET

Siku za hivi karibuni kampuni ya Aliance Motion Global imekuwa ikiripotiwa sana kwa kukusanya vijana kutoka sehemu mbalimbali kwa ajiri ya kuwapa mafunzo na kuwapatia ajira huku wakiwatoza vijana hao pesa nyingi na kuwapa bidhaa kwa ajili ya kuuza.

Suala hilo limemfikia Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Wakili Julius Mtatiro, ambaye ametoa agizo la kuifungia kampuni ya Aliance Motion Global na kuwataka kutofanya shughuli hiyo tena kwani wakionekana watakamatwa.

Pia soma > DOKEZO - Tahadhari: Utapeli wa watu waliojificha nyuma ya biashara ya kimtandao ya ‘Alliance in Motion Global’

ITV
Jamaa huwa wanapigilia pamba kali kali miksa kubeba vi notebook na dairy😅😅😅😅bongo raha saana.
 
Back
Top Bottom