Kila siku huu utapeli unajirudia! Cha kushangaza wapigwaji hawaishi, na serikali nayo inajifanya iko usingizini. Sijui na yenyewe inanufaika na huo utapeli!!
Si kama wa nyungu tu, tiba asili na zile pendwa za aina kule Tanganyika Packers na wale manabii?
Kwamba serikali haijui wagonjwa wa saratani, kisukari, ini, HIV, figo, nk wanapigwa mchana kweupe kwenye tiba pendwa hizo?