Shinyanga: DC Mtatiro aamuru Aliance Motion Global kufungwa kwa tuhuma za kukusanya vijana na kuwatapeli

Na hawatokuja kuisha
Hivi muajiri gani anayetaka umpe pesa akufundishe ndo akupe kazi??
Hata kutumia akili za kuvukia barabara watu wanashindwa??
Nchi hii ina wajinga wengi sana

Ova
 
Alafu walioitwa huwa hawapendi kushare na wengine basi wanaona wamepata mchongo kumbe mchongoma unawachoma ss
apana ukishawafikia watakutaka ulete watu wengine zaidi ili upate sijui ndo refferal commision yaani uhuni uhuni tu

Na atakaekuja nae atapaswa kuleta mtu kwa faida ya aliyemtangulia, ni mwendo huo huo hakuna cha maana
 
Cha kufanya na watoto wenu nao watafute watu wa kuwatapeli kulipiza machungu maana hao jamaa wenyewe pia hawana kazi wakajiongeza kuwatapeli nyie , kwahiyo na nyie mjiongeze Tz bado ina wajinga wengi mnaweza kujilipa
 
Cha kufanya na watoto wenu nao watafute watu wa kuwatapeli kulipiza machungu maana hao jamaa wenyewe pia hawana kazi wakajiongeza kuwatapeli nyie , kwahiyo na nyie mjiongeze Tz bado ina wajinga wengi mnaweza kujilipa
hao jamaa ndo mfumo wanaoutumia huo!
 
Hiki kikampuni koko nahisi ni cha mkubwa flani serikalini maana kwa matukio ya vijana kutapeliwa hawajaanza leo lakini bado wanaendelea kutapeli bila kuchukuliwa hatua yoyote!
Kuna binti alipigwa laki Sita unusu kwa ahadi kama hio
 
Kinachoshangaza....hao jamaa ofisi zao hua zipo jirani tu na ofisi za Umma....wanakaa kimya mpaka watu waibiwe ndio wanawafungia!!!! Kwa nn wasiwe wanachukuliwa hatua mapema.....hao jamaa wamepiga kazi miaka...means weshaibia mamia kwa maelfu ya watu hadi wakachoka.
 
Jamaa huwa wanapigilia pamba kali kali miksa kubeba vi notebook na dairy😅😅😅😅bongo raha saana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…