SHINYANGA: Mahakama yamwachia huru Kishabi na wenzake 4 wa CHADEMA waliofungwa kwa kudaiwa kuchoma moto Kituo cha Polisi

SHINYANGA: Mahakama yamwachia huru Kishabi na wenzake 4 wa CHADEMA waliofungwa kwa kudaiwa kuchoma moto Kituo cha Polisi

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mahakama kuu kanda ya Shinyanga imemuachia huru mwanachama wa Chadema Mhindu Kishabi na wenzake 4 waliofungwa jela miaka 3 kwa kosa la kuchoma moto kituo cha polisi huko Simiyu.

Kishabi alikuwa diwani na baadae aligombea ubunge jimbo la Kisesa

Mungu ni mwema wakati wote!
 
Ilithibitika kweli kwamba wamechoma kituo cha police?

Je, kifungo kimeisha au wameachiwa kwa msamaha?
 
It is stupid, hakuna cha kushukuru, walibambikiwa kesi. Walaaniwe Jiwe huko aliko anaoza na mafunza.
 
Mahakama kuu kanda ya Shinyanga imemuachia huru mwanachama wa Chadema Mhindu Kishabi na wenzake 4 waliofungwa jela miaka 3 kwa kosa la kuchoma moto kituo cha polisi huko Simiyu.

Kishabi alikuwa diwani na baadae aligombea ubunge jimbo la Kisesa

Mungu ni mwema wakati wote!
Mwenyezi Mungu aendelee kuwapiga laana ya kifo mamluki wote walioshiriki unyama huu wa kuikandamiza chadema
 
Bila polisi hakuna ccm

Mwenyekiti_wa_Chadema_Meatu_Kamanda_Francis_Kishabi_Ameshinda_Rufaa_Katika_Mahakama_Kuu_Baada_...jpg
 
Ilithibitika kweli kwamba wamechoma kituo cha police?

Je, kifungo kimeisha au wameachiwa kwa msamaha?

Haikudhibitika, ila dhalimu kabla ya kwenda motoni aliagiza mtu akigombea ule uporaji wa kura, apewe kesi ya kubambikiwa.
 
Back
Top Bottom