johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kamuulize magufuli kule chato.Ilithibitika kweli kwamba wamechoma kituo cha police?
Je, kifungo kimeisha au wameachiwa kwa msamaha?
Ikithibitika wapi tena?!Ilithibitika kweli kwamba wamechoma kituo cha police?
Je, kifungo kimeisha au wameachiwa kwa msamaha?
Imegundulika wanaCCM na jeshi la polisi waliwabambikia kesi.Ilithibitika kweli kwamba wamechoma kituo cha police?
Je, kifungo kimeisha au wameachiwa kwa msamaha?
Wameshinda rufaaIlithibitika kweli kwamba wamechoma kituo cha police?
Je, kifungo kimeisha au wameachiwa kwa msamaha?
Kamuulize magufuli kule chato.
Wameshinda rufaa
Hapo malizia kabisa kwamba "aligombea ubunge jimbo la Kisesa kwa Luhaga Mpina, akashinda, lakini akadhulumiwa na marehemu"Kishabi alikuwa diwani na baadae aligombea ubunge jimbo la Kisesa
Mungu ni mwema wakati wote!
Mwenyezi Mungu aendelee kuwapiga laana ya kifo mamluki wote walioshiriki unyama huu wa kuikandamiza chademaMahakama kuu kanda ya Shinyanga imemuachia huru mwanachama wa Chadema Mhindu Kishabi na wenzake 4 waliofungwa jela miaka 3 kwa kosa la kuchoma moto kituo cha polisi huko Simiyu.
Kishabi alikuwa diwani na baadae aligombea ubunge jimbo la Kisesa
Mungu ni mwema wakati wote!
Ilithibitika kweli kwamba wamechoma kituo cha police?
Je, kifungo kimeisha au wameachiwa kwa msamaha?
Safi kwa hukumu za kuagizwa na rais mlevi wa madaraka?Safi kabisaaa
Jibu zuri sanaKamuulize magufuli kule chato.