Uchaguzi 2020 Shinyanga: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Uchaguzi 2020 Shinyanga: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Wakuu,

Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Shinyanga. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.

Mkoa wa Shinyanga una jumla ya majimbo ya uchaguzi 6 ambayo ni:-


Shinyanga Mjini -
Patrobas Katambi(CCM) - Kura 31,831
Salome Makamba(CHADEMA) - Kura 16,608

Solwa -
Ahmed Salum (CCM) - Kura

Kishapu -
Boniface Butondo (CCM) - Kura 54,864

Msalala -
IDDI KASSIM IDDI (CCM) - Amepita bila kupingwa

Ushetu -
KWANDIKWA ELIAS JOHN (CCM) - Amepita bila kupingwa

Kahama Mjini -
Jumanne Kishimba (CCM) - Kura 35,709

ZINGATIA: Mikoa yote ina mada yake ya 'Update' ili kuweka wepesi katika ufuatiliaji.
 
Back
Top Bottom